TAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI (ESAURP) YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA MBEYA

Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es Salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya uja...







Mmoja wa wakufunzi wa masomo ya ujasiriamali Kutoka Chuo Kikuu Dar es Salaam Profesa Humphrey Mushi akizungumza katika semina ya ujasiriamali inayotolewa na Taasisi ya utafiti ya vyuo vikuu vya afrika na kusini mwa Afrika ( ESAURP) kwa wafanyabiashara ndogondogo mkoa wa mbeya katika ukumbi wa shule ya St.Agrey jijini Mbeya Agosti 24 mwaka huu.

Mwakilishi wa Taasisi ya Esaurp kutoka jijini Dar es Salaam Ndugu Peter Celestine akizungumza katika mafunzo hayo ya siku tano yaliyolenga kuwapatia wajasiriamli hao Ujuzi, Mbinu,maarifa pamoja na stadi za biashara ili kuwezesha ukuaji wa biashara zao.

Baadhi ya wajasirimali kutoka maeneo tofauti tofauti Mkoani mbeya wakiendelea kupatiwa mafunzo.


Mmoja wa walimu katika mafunzo hayo Ndugu Upendo Mwinuka akizungumza na wajasirimali hao hawapo Pichani.




Afisa Mikopo kutoka Benki ya Posta Tanzania Mbeya (TPB) Ndugu Tresphory Mtwele akizungumza na wajasirimali hao ili kuwashawishi kujiunga katika vikundi ili waweze kupatiwa mikopo ya riba nafuu na benki hiyo.





 Picha Emanuel Madafa Mbeya (JAMIIMOJABLOG)








COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI (ESAURP) YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA MBEYA
TAASISI YA UTAFITI YA VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI (ESAURP) YAANDAA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA MBEYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLU1zvN5Ch0pB2Iz7ElJrztEzLvFCHNmp5vE2zN7qtPC9p_wyPnG3ycdlnQW1ne0ehWkIJ8BkmecOo5rtpHx-6_51eD05fO30lOWu8x124Ml40ZVk6F7pjr2bXitqf917nMwFyMgsR1np2/s640/DSC_0554.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLU1zvN5Ch0pB2Iz7ElJrztEzLvFCHNmp5vE2zN7qtPC9p_wyPnG3ycdlnQW1ne0ehWkIJ8BkmecOo5rtpHx-6_51eD05fO30lOWu8x124Ml40ZVk6F7pjr2bXitqf917nMwFyMgsR1np2/s72-c/DSC_0554.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/08/taasisi-ya-utafiti-ya-vyuo-vikuu-vya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/taasisi-ya-utafiti-ya-vyuo-vikuu-vya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy