RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kino...








Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es Salaam na kuzikwa leo kijijini hapo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishuhudia kusimikwa kwa Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 katika kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es Salaam na kuzikwa leo kijijini hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akitolewa nje baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es Salaam na kuzikwa leo kijijini hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akitolewa nje baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es Salaam na kuzikwa leo kijijini hapo.
Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru Chifu Kingalu wa 15 akichomeka fimbo yake ya Uchifu kabla ya kuketi  meza Kuu na Rais Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kusimikwa rasmi kuwa kiongozi wa kabla hilo kijijini Kinole mkoani Morogoro Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo cha Chifu Kingalu wa 14 aliyefariki jana Jumatano jijini Dar es Salaam na kuzikwa leo kijijini hapo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15  baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 (kushoto) baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake marehemu Chifu Kingalu wa 14.

Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 akiongea machache baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake marehemu Chifu Kingalu wa 14.

Mama Salma Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru  wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15  baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake marehemu Chifu Kingalu wa 14.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Kiongozi mpya wa kabila la Warugulu wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake marehemu Chifu Kingalu wa 14.

 (PICHA NA IKULU)






















COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRfBKGqA1-3Ah9Uo3q1Fhy_Bii6GnB5kw4DAY0hyphenhyphenPJP61k5Cx_rz9C9u7CWdpvAGUoA79Vaj1KgR1O6oIDoMxZCn-FIfqn1Q6mJwLZEPAKDU5IJp2HGAIkSaWWsp7Xje0vfjEEsYZ5uze7/s640/k8.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRfBKGqA1-3Ah9Uo3q1Fhy_Bii6GnB5kw4DAY0hyphenhyphenPJP61k5Cx_rz9C9u7CWdpvAGUoA79Vaj1KgR1O6oIDoMxZCn-FIfqn1Q6mJwLZEPAKDU5IJp2HGAIkSaWWsp7Xje0vfjEEsYZ5uze7/s72-c/k8.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/07/rais-kikwete-ahudhuria-mazishi-ya-chifu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/rais-kikwete-ahudhuria-mazishi-ya-chifu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy