MENEJA wa Maendeleo ya Biashara wa Resolution Insurance, Zamaradi Mbega akiongea na waandishi wa habari kuhusu huduma ...
MENEJA wa Maendeleo ya Biashara wa Resolution Insurance, Zamaradi Mbega akiongea na waandishi wa habari kuhusu huduma zitolewazo na kampuni hiyo jijini Dar es Salaam Julai 22 2015. Kushoto ni Meneja Maendeleo ya Biashara wa Kampuni ya Perfect Infotech International pamoja na maofisa wa kampuni hizo.
Katibu Mkuu (mstaafu) wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA), Wilbard Mtenga akiongea wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya uasfirishai uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. wadau hao walikuwa wakijadiliana juu ya maadhimio ya kutaka kusitisha utoaji wa huduma mpaka serikali itakapotoa muafaka wa kupanda kwa kodi ya mabasi na bima ya VAT.
Baadhi ya wadau wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA), wakiwa katika wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafirishaji uliofanyika jijini Dar es Salaam. Wadau hao walikuwa wakijadiliana juu ya maadhimio ya kutaka kusitisha utoaji wa huduma mpaka serikali itakapotoa muafaka wa kupanda kwa kodi ya mabasi na bima ya VAT.
Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA), Mohamed Hood akiongea wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafirishaji uliofanyika jijini Dar es Salaam Julai 22 2015.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA), Enea Mrutu akiongea wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafirishaji uliofanyika jijini Dar es Salaam Julai 22 2015. Kulia ni Mwenyekiti wa TABOA, Mohamed Hood na Makmu Mwenyekiti, Severin Ngallo.
Baadhi ya wadau wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi nchini (TABOA), wakiwa katika wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafirishaji uliofanyika jijini Dar es Salaam. Wadau hao walikuwa wakijadiliana juu ya maadhimio ya kutaka kusitisha utoaji wa huduma mpaka serikali itakapotoa muafaka wa kupanda kwa kodi ya mabasi na bima ya VAT.
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS