MAADHIMISHO YA MASHUJAA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

Askari wa Jeshi la wananchi kikosi cha bendera wakiongoza gwaride la maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo.

MAADHIMISHO YA MASHUJAA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

Askari wa Jeshi la wananchi kikosi cha bendera wakiongoza gwaride la maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika kat...







Askari wa Jeshi la wananchi wakiingia kwa gwaride kwenye maadhimisho wakati siku ya kumbukumbu ya mashujaa leo.

Askari wa Jeshi la wananchi wakiingia kwa gwaride kwenye maadhimisho wakati siku ya kumbukumbu ya mashujaa leo.

Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho akisalimiana na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange alihudhuria maadhimisho hayo.

Mkuu wa Itifaki, Balozi Mohamed Maharage akimkaribisha Spika Anne Makinda alipowasili kwenye maadhimisho ya siku ya mashujaa leo.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu akiwasili kwa maadhisho hayo. Kulia ni Mkuu wa Itifaki, Balozi Mohamed Maharage.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu akisalimiana na Mteule wa CCM atakayeipeperusha bendera ya chama hicho kugombea nafasi ya urais Dkt John Magufuli katika maadhimisho hayo.

Makamu wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akiwasili kwa maadhimisho hayo. Kushoto ni Mkuu wa Itifaki, Balozi Mohamed Maharage.



Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akikaribishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki alipowasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwa maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam leo.

Viongozi wa dini wakiwakilisha dini mbalimbali wakielekea kwemye mimbari kwa ajili ya kusoma dua wakati wa maadhimisho hayo. Kutoka (kulia) ni Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhaji Alhad Mussa Salim, Mwakilishi wa TEC, Padre Theophele Bolampeti na  Mwakilisi wa CCT, Mchungaji John Kamoyo. 

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais, Dkt mohamed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, Spika wa bunge, Mh. Anne Makinda, Jaji Mkuu wa Zanzibar, Othman Omari Makungu na Waziri mkuu wa zamani, Dkt. saim Hemed Salim.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Ernest Mangu alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja kwa maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam leo.


Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwa maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam leo. Pamoja naye ni Mkuu wa mkoa, Saidi Meck Sadiki.



Askari wa Jeshi la wananchi kikosi cha bendera wakiongoza Gwaride la maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa.

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kushoto), akiwa na viongozi mbalimbali wa serikali kwenye maadhimisho ya siku ya mashujaa yaliyoadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam.











Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiweka mkuki kwenye mnara wa mashujaa.

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiweka ngao pia kwenye mnara huo.


Kiongozi wa Mabalozi nchini, Balozi Juma Kalfan Mpango akiweka shada la maua mnara wakati wa maadhimisho hayo.


Meya wa jiji la Dar es Salaam, Dkt. Didas Masaburi akiwe upinde na mshale mnara wakati wa maadhimisho hayo.

Mwenyekiti wa Tanzania Legion, Mzee Rashid akitoa heshima baada ya kuweka shoka kwenye mnara wa mashujaa.

Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhaji Alhad Mussa Salim, akisoma dua.





Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiagana na mmoja wa wazee walipigana vita ya pili ya dunia, Salum Mbarouk alipomaliza kushiriki maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam leo.



Wakazi wa Dar wakiwa Mtaa wa Uhuru uliofungwa kwa muda wakati wa maadhimisho hayo.





 





Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAADHIMISHO YA MASHUJAA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO
MAADHIMISHO YA MASHUJAA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZkXh0qqkC0VO_o9dIXnxJAwA9WtMiPMxJVVFNHqNLhjbYoYOiH9Wbk7bj-fpqBxZ1FU4FeJkDNEiRGpCHfdD8iXNQL7OJTRLBjfIiFi1MQkldmNF5lPd7TpplhTMoAe7Z8dse1-7_hrKO/s640/b1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZkXh0qqkC0VO_o9dIXnxJAwA9WtMiPMxJVVFNHqNLhjbYoYOiH9Wbk7bj-fpqBxZ1FU4FeJkDNEiRGpCHfdD8iXNQL7OJTRLBjfIiFi1MQkldmNF5lPd7TpplhTMoAe7Z8dse1-7_hrKO/s72-c/b1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/07/maadhimisho-ya-mashujaa-mnazi-mmoja-dar.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/07/maadhimisho-ya-mashujaa-mnazi-mmoja-dar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy