NAIBU Katibu Mkuu wa CHADEMA, (Tanzania Bara), John Mnyika (kulia) na aliyekuwa Mbunge wa Kahama, James Lembeli, wa...
NAIBU Katibu Mkuu wa CHADEMA, (Tanzania
Bara), John Mnyika (kulia) na aliyekuwa Mbunge wa Kahama, James
Lembeli, wakiwa kwenye gari la wazi wakisalimia maelfu ya wakazi wa jiji
la Mwanza, wakati msafara wa Katibu Mkuu wa chama hicho ukiwasili
jijini humo leo Julai 22, 2015, ambapo Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt.
Wilbroad Slaa, aliwatambulisha waliokuwa wabunge machacharti wa CCM,
James Lembeli na Esther Bulaya, ambao wamekihama chama hicho na kujiunga
na CHADEMA
Mwenyekiti wa BAWACHA, Halima Mdee (kulia) na Esther Bulaya, wakipungia mkono wakazi wa jiji la Mwanza leo Julai 22, 2015
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbroad
Slaa, akionyesha alama ya V inayotumiwa na chama hicho wakati msafara
wake ukiwasili jijini humo, ambapo alihutubia maelfu ya watu na
kuwatambulisha wabunge machachari wa CCM, waliohamia chama hicho, James
Lembeli na Esther Bulaya
Boda boda nao walikuwepo
COMMENTS