Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto) sanjari na viongozi wengie wa ...
Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto) sanjari na viongozi wengie wa wilaya ya Mkuranfa wakishiriki kufyatulia tofali, wakati wa hafla fupi ya kufunga
kambi ya kufyatua tofali 45000 kwa ajili ujenzi wa mabweni matano na
nyumba tano za walimu katika shule ya sekondari Nassibugani iliyopo kata
ya msonga wilaya Mkuranga.
Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako pamoja na Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega (kulia) wakishriki kwa pamoja kuchanganya mchanga wa kufyatulia tofali, wakati wa hafla fupi ya kufunga
kambi ya kufyatua tofali 45000 kwa ajili ujenzi wa mabweni matano na
nyumba tano za walimu katika shule ya sekondari Nassibugani iliyopo kata
ya msonga wilaya Mkuranga.
Waziri wa Elimu, Sayansi Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na
wananchi wa Mkuranga wakati wa kufunga kambi ya kufyatua tofali 45000
kwa ajili ujenzi wa mabweni matano na nyumba tano za walimu katika shule
ya sekondari Nassibugani iliyopo kata ya msonga wilaya Mkuranga.
Mbunge wa jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega
akizungumza
na wananchi wake wakati wa kufunga kambi ya kufyatua tofali 45000 kwa
ajili ujenzi wa mabweni matano na nyumba tano za walimu katika shule ya
sekondari Nassibugani iliyopo kata ya msonga wilaya Mkuranga.
Na Chalila Kibuda, Globu ya jamii
Waziri wa elimu, sayansi Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema wananchi wa Mkuranga wamejitoa katika kupata Mandeleo.
Profesa Ndalichako wakati kufunga kambi ya kufyatua tofali 45000 kwa ajili ujenzi wa mabweni matano na nyumba tano za walimu katika shule ya sekondari Nassibugani iliyopo kata ya msonga wilaya Mkuranga.
Amesema kuwa wananchi wamejitoa kuhakikisha watoto wanapata elimu bora inayoendana na mazingira. Amesema kuwa nia yake nikuona mkuranga kunapatikana mapinduzi ya Elimu.
Amesema vijana 53 wameamua kumuunga mkono kutokana na kuona njia inaonekana ya kujitoa na kwao katika kusaidia maendeleo ya Taifa.
Amesema ujenzi wa mabweni hayo itakuwa suluhu kwa wasichana kufanya vizuri.Amesena jitihada zinaendelea kutatua baadhi ya changamoto za Elimu kwa kushirikiana na wananchi.Katika ufungaji wa kambi hiyo Mbunge wa Mkuranga ,Abdallah Ulega amesema nia yake ni kuona maendeleo yanapatikana yenye tija.
Waliohudhuria ufungaji ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, Mkuu wa Wilaya, Filberto Sanga na viongozi mbalimbali.

COMMENTS