KATIBU MKUU WA CHADEMA DKT. SLAA AUNGURUMA MJINI KATAVI

KATIBU MKUU WA CHADEMA DKT. SLAA AUNGURUMA MJINI KATAVI

 Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dkt. Wilibrod Slaa,  akiwasalimia wanachama, wapenzi, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Demok...








 Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dkt. Wilibrod Slaa,  akiwasalimia wanachama, wapenzi, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kuwasili katika ofisi za wilaya za chama hicho mjini Mpanda, mkoani Katavi juzi mchana akiwa katika mwendelezo wa ziara yake maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi ambako mbali ya kukagua zoezi la uandikishaji wa wapiga kura amekuwa akihamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu huku pia akikagua maandalizi ya chama kinavyojipanga kuelekea uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Willibroad Slaa akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Mpanda, mkoani Katavi uliofanyika katika Uwanja wa Kashaulili baada ya kuwasili mkoani humo akitokea Mkoa wa Rukwa na Mbeya, ambako amepita katika maeneo mbalimbali akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa BVR, akitumia mikutano ya hadhara kuhamasisha wananchi wenye sifa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, huku pia akikagua maandalizi ya chama kinavyojipanga kueleka mwezi Oktoba.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU WA CHADEMA DKT. SLAA AUNGURUMA MJINI KATAVI
KATIBU MKUU WA CHADEMA DKT. SLAA AUNGURUMA MJINI KATAVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjL7NR0fToCMt76kI99CN5OaQnvLZlFZrMnm9NEM1qkAazR0f0M4dXBQueRwgVab0DdDlLvZwl1jXlrUVpPQnJhn1wG6PVhmqJ_bk45RtCOw9IEZgZ7xDmWRcaX5HKDEici6v4ZJJXmjz_L/s640/hamjamboo1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjL7NR0fToCMt76kI99CN5OaQnvLZlFZrMnm9NEM1qkAazR0f0M4dXBQueRwgVab0DdDlLvZwl1jXlrUVpPQnJhn1wG6PVhmqJ_bk45RtCOw9IEZgZ7xDmWRcaX5HKDEici6v4ZJJXmjz_L/s72-c/hamjamboo1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/06/katibu-mkuu-wa-chadema-dkt-slaa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/06/katibu-mkuu-wa-chadema-dkt-slaa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy