Rais Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Dk Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzal...
 |
Rais
Mstaafu awamu ya Pili Alhaji Dk Hassan Mwinyi akitoa salamu zake kwa wageni
waalikwa wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo Mei 30, 2015, alitimiza umri wa miaka
90.Sherehe hiyo ilifanyika katika hoteli ya Sea Cliff na kuhudhuriwa na
viongozi mbalimbali wa serikali.
|
 |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais
Mstaafu awamu ya pili Alhaji Dkt. Ali Hassan Mwinyi kwa kutimiza miaka 90 wakati wa
sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mkewe Mama Siti Mwinyi.
|
 |
Rais Mstaafu awamu ya pili, Alhaj Dkt. Ali Hassan
Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na familia yake watoto na wajukuu wake
wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa ambapo alitimiza umri wa miaka 90 katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. |
COMMENTS