BREAKING NEWS!!! BUS LA AIR JORDAN LAPATA AJALI LAUWA MMOJA WENGINE 20 WAJERUHIWA MKOANI TABORA

SOURCE ITV; RPC SUZAN KAGANDA KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA Amethibitisha kwa simu kutokea kwa tukio hilo leo mchana huu. ...








SOURCE ITV;

RPC SUZAN KAGANDA KAMANDA WA POLISI MKOA WA TABORA Amethibitisha kwa simu kutokea kwa tukio hilo leo mchana huu.


  Mmoja wa majeruhi akisaidiwa na msamaria mwema mara baada ya kupata ajali. 

Mtu mmoja amefariki dunia huku wengine 20 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lenye usajili wa namba T 650 AQZ lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda mkoani Arusha na kupinduka leo wilayani Nzega, Tabora. Mpaka sasa chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.
 Baadhi ya Majeruhi mara baada ya ajali hiyo kutokea.
 Baadhi ya Abiria wakiwa nje ya basi la Jordan mara baada ya kupinduka wilayani Nzega mkoani Tabora na kupelekea kifo cha mtu mmoja.
Mmoja wa abiria akifanya mawasiliano baada ya kunusurika kifo basi la Jordan mara baada ya kupinduka wilayani Nzega mkoani Tabora na kupelekea kifo cha mtu mmoja.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BREAKING NEWS!!! BUS LA AIR JORDAN LAPATA AJALI LAUWA MMOJA WENGINE 20 WAJERUHIWA MKOANI TABORA
BREAKING NEWS!!! BUS LA AIR JORDAN LAPATA AJALI LAUWA MMOJA WENGINE 20 WAJERUHIWA MKOANI TABORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpNVJ86W86_kLdG5tXLfQCdxUkwfmOSsCQ-YBalKmC_guXZ1GoXpXtuUP9yk9ciDKLhsdPbIt9zZuI6uAscqGpV0_GJHYUo-JGby6zzkzfOZlyi9fh5BdNlELsWJj-2ybg9_vJuoyz98iY/s1600/KAGANDA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpNVJ86W86_kLdG5tXLfQCdxUkwfmOSsCQ-YBalKmC_guXZ1GoXpXtuUP9yk9ciDKLhsdPbIt9zZuI6uAscqGpV0_GJHYUo-JGby6zzkzfOZlyi9fh5BdNlELsWJj-2ybg9_vJuoyz98iY/s72-c/KAGANDA.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/04/breaking-news-bus-la-air-jordan-lapata.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/04/breaking-news-bus-la-air-jordan-lapata.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy