RAIS KIKWETE AONGOZA HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, TAWI LA DAR, DIAMOND JUBILEE USIKU WA IJUMAA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  na viongozi wengine meza kuu wakati wa  sala ya Mkuu ...








Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  na viongozi wengine meza kuu wakati wa  sala ya Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete aliwezesha kupatikana kwa sh. bilioni 1.6 mbali na ahadi na fedha zitakazopatikana kutokana na bidhaa zilizouzwa kwa njia ya mnada.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete aliwezesha kupatikana kwa sh. bilioni 1.6 mbali na ahadi na fedha zitakazopatikana kutokana na bidhaa zilizouzwa kwa njia ya mnada.

(PICHA NA IKULU)





COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS KIKWETE AONGOZA HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, TAWI LA DAR, DIAMOND JUBILEE USIKU WA IJUMAA.
RAIS KIKWETE AONGOZA HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI, TAWI LA DAR, DIAMOND JUBILEE USIKU WA IJUMAA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_UZUqt1fPNTOuI9nmiuKmcqzYLGDgiiMW3O9pb_0wWi-lHFI8lZ7VpMfmM0QVq6eGhyphenhyphenZJ42lVgn6hhOHvrvkMe3ULtig6WdSY1n_xLNOvMthRWNzVrWQ2g2BpSb5g6O71SRaB14p2Mt6U/s1600/0L7C3863.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg_UZUqt1fPNTOuI9nmiuKmcqzYLGDgiiMW3O9pb_0wWi-lHFI8lZ7VpMfmM0QVq6eGhyphenhyphenZJ42lVgn6hhOHvrvkMe3ULtig6WdSY1n_xLNOvMthRWNzVrWQ2g2BpSb5g6O71SRaB14p2Mt6U/s72-c/0L7C3863.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kwete-aongoza-hafla-ya-chakula-cha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/03/rais-kwete-aongoza-hafla-ya-chakula-cha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy