BONDIA IDDI BONGE AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA FEBRUARI 14 P.T.A SABASABA

    Bondia Iddi Bonge akipiga beg zito wakati wa mazoezi yake ya mpambano wake na Aliphoce Mchumiatumbo utakaofanyika katika uk...



 

 

Bondia Iddi Bonge akipiga beg zito wakati wa mazoezi yake ya mpambano wake na Aliphoce Mchumiatumbo utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba siku ya Februari 14, 2015.

Bondia Iddi Bonge akipiga beg zito wakati wa mazoezi yake ya mpambano wake na Aliphoce Mchumiatumbo utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Februari 14, 2015.

Bondia Iddi Bonge akipiga beg zito wakati wa mazoezi yake ya mpambano wake na Aliphoce Mchumiatumbo utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba siku ya Februari 14, 2015.

Bondia Iddi Bonge akipiga beg zito wakati wa mazoezi yake ya mpambano wake na Aliphoce Mchumiatumbo utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Februari 14 2015.

BONDIA IDDY BONGE AKIWA NA MARAFIKI ZAKE ANAOFANYA NAO MAZOEZI. (Picha na SUPER D BOXING NEWS)

Na Mwandishi Wetu

Bondia Iddi Kipandu 'Iddi Bonge ' amendelea na mazoezi kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba ambapo atapambana na Alphonce Mchemiatumbo  mpambano wa ubingwa wa taifa raundi kumi uzito wa juu ni kwa mara ya kwanza kabisa baada ya miaka kadhaa kupita na kuto kuwa na bingwa wa uzito wa juu

akizungumza wakati wa mazoezi yake anayofanya katika gym ya garden iliyopo mburahati jijini Dar es Salaam amesema yeye amejipanga kwa raundi kumi lakini ata hivyo azitoisha kutokana na ngumi zake kuwa nzito zana na anatarajia kumaliza mpambano mapema hivyo mashabiki wawai mapema kuja kuangalia mpambano wao uho uliovuta hisia kali za mashabiki wa Temeke na Kinondoni

nae mratibu wa mpambano huo wa uzito wa juu Shabani Manyoka amesema kuwa maandalizi yote yamekamilika na wanasubili siku ya mpambano tu ata hivyo ijumaa watapima uzito katika ofisi za chama cha ngumi za kulipwa nchini kinachongozwa na Emanuel Mlundwa ofisi zilizopo DDC Keko Dar es Salaam.

mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi ambapo bondia Iddi Mnyeke atapambana na Yonas Sego nae Antony Mathias atakabiliana na bondia chipukizi anaekuja kwa kasi katika ulimwengu wa masumbwi Vicent Mbilinyi wakati Shabani Kaoneka atamkabili Saidi Mbelwa, na Deo Samweli akipambana na Adam Ngange Juma fundi atakabiliana na Bakari Ustadhi na Amani Bariki 'Manny Chuga' atapambana na Mohamed Kashinde 
 
Manyoka aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha ndani na nje ya ukumbi huo ambapo amesha wasiliana na walinzi mbalimbali
siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto, Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali 
na wengine wengi DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.

“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano  ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D . Super D Boxing Coach Email.superdboxingcoach@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Mob;+255787 406938
        +255774406938
        PO. Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BONDIA IDDI BONGE AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA FEBRUARI 14 P.T.A SABASABA
BONDIA IDDI BONGE AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE WA FEBRUARI 14 P.T.A SABASABA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiscJUGHIL6YKPEDVl8lf8Khb2RU9qI48GFvDtw92nC1CGqpmXErRJz5e7rms3yO6ws_1LqPNgZFJUMahdwvvaRTdKH49FGZKFgCfKDqhnCkuhs81AYvID3uzLJzPHZhNJH8SU6h5E3NNc/s1600/IMG_1822.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiscJUGHIL6YKPEDVl8lf8Khb2RU9qI48GFvDtw92nC1CGqpmXErRJz5e7rms3yO6ws_1LqPNgZFJUMahdwvvaRTdKH49FGZKFgCfKDqhnCkuhs81AYvID3uzLJzPHZhNJH8SU6h5E3NNc/s72-c/IMG_1822.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/02/bondia-iddi-bonge-ajifua-kwa-ajili-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/02/bondia-iddi-bonge-ajifua-kwa-ajili-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy