RAIS MSTAAFU WA BOTSWANA MH. FESTUS MOGAE ATEMBELEA TAASISI YA UONGOZIPIA AKUTANA WAZIRI MKUU PINDA

(Juu na chini) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa zamani wa Botswana, Festus Mogae baada ya kufungua kikao cha mapitio y...




(Juu na chini) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa zamani wa Botswana, Festus Mogae baada ya kufungua kikao cha mapitio ya Programu ya  Matokeo Makubwa sasa (BRN) kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es Salaam Januari 15, 2015.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kushoto) akipokelewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja pale kiongozi huyo mstaafu alipotembelea ofisi hiyo iliyo chini ya Ofisi ya Rais jana Masaki, jijini Dar es Salaam.
Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za UONGOZI Institute pale alipofika kwenye taasisi hiyo kufahamu zaidi kuhusu maendeleo yake. Anayeshuhudia kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja na Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti wa taasisi hiyo Bw. Dennis Rweyemamu.
Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja (wa pili kushoto) akimuelezea Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (kulia) kuhusu mradi wa ujenzi wa taasisi ya mafunzo ya UONGOZI Institute unaoendelea katika mji wa Bagamoyo, Pwani. Kutoka kulia ni Dr. Linda Ezekiel Mkurugenzi wa Sekta za Kijamii kutoka Presidential Delivery Bureau (PDB) na Mkuu wa Sera na Utafiti wa UONGOZI Institute Bw. Dennis Rweyemamu.
Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae pia alipata wasaa wa kuzungumza na wafanyakazi wa UONGOZI Institute, kuelezea kuhusu uzoefu wake katika uongozi, utumishi wa umma, pamoja na maono yake kwa bara la Afrika na watu wake.
Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae akizungumza na wafanyakazi wa UONGOZI Institute (hawapo pichani) taasisi inayojishughulisha na utoaji mafunzo ya uongozi kwa viongozi serikalini pamoja na utafiti na ushauri wa kisera unaoweza kuleta maendeleo endelevu nchini. Pembeni yake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja.
Rais mstaafu wa Botswana Mh. Festus Mogae (aliyeketi kulia) na mwenyeji wake Afisa Mtendaji Mkuu wa UONGOZI Institute Profesa Joseph Semboja (aliyeketi kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa UONGOZI Institute jana jijini Dar es Salaam.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MSTAAFU WA BOTSWANA MH. FESTUS MOGAE ATEMBELEA TAASISI YA UONGOZIPIA AKUTANA WAZIRI MKUU PINDA
RAIS MSTAAFU WA BOTSWANA MH. FESTUS MOGAE ATEMBELEA TAASISI YA UONGOZIPIA AKUTANA WAZIRI MKUU PINDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSttL3IRryXGoraLwRL2BSyzNHDciy5POLO1yYHHN5Ob2u8U_JV64g50Rzaoq_6v-LhutC5GGyTn7knA8VJjC2mCurHw1Lmj1czfuNAeGUxmvk9H2sIZWKTKwa5Sxgj040G4-cGv1mwQvV/s1600/PG4A8355.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSttL3IRryXGoraLwRL2BSyzNHDciy5POLO1yYHHN5Ob2u8U_JV64g50Rzaoq_6v-LhutC5GGyTn7knA8VJjC2mCurHw1Lmj1czfuNAeGUxmvk9H2sIZWKTKwa5Sxgj040G4-cGv1mwQvV/s72-c/PG4A8355.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/01/rais-mstaafu-wa-botswana-mh-festus.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/01/rais-mstaafu-wa-botswana-mh-festus.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy