Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwad...
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mwadhama Polycap Kadinali
Pengo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa Mwadhama
Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es Salaam jana jioni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua pazia kuzindua rasm ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali
Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam jana jioni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki
Tanzania Mhashamu Askofu Tarcius Ngalekumtwa, wakati alipokuwa akiondoka
kanisa la Mtakatifu Peter baada ya kuzindua rasmi ukumbi wa Mwadhama
Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay, jana jioni. (Pica OMR)
COMMENTS