WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI

WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI Baadhi ya waandihi wa habari mk...

WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI

Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES.
Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Marawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo kwa makini.
Wengine somo lilionekana kuwa gumu kiasi ikawalazimu kutizama ukurasa mweupe katika Competer zao.
Mmoja wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet  yanayofanyika katika Chuo cha Ufundi VETA mkoa wa Kilimanjaro
Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo.
Darasa likiendelea.
Kila mshiriki alikuwa na kazi ya kufanya kipindi chote cha mafunzo.
Baada ya kujifunza kwa muda mrefu darasa lililazimika kusimama na kunyoosha mwili kidogo.
Ukafika Muda wa chakula kwa wenzetu ambao hawako katika mfungo.
Washiriki wakapata picha ya pamoja.
(Na Dixon Busagaga wa globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI
WANAHABARI KILIMANJARO WAPIGWA MSASA JUU YA MATUMIZI YA INTERNET KWA SHUGHULI ZA UANDISHI WA HABARI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-ozV2-1-pzuSXFl3w3_Ro4orGnzvW1__P2nMnKrIzro0cwItgZwYTPxitc0iVnbXm7nrWqg7qT8X3klWozkCpTzau9VedmGdTvzfxDTyMNMjb9RriWKgheSYDUneZ8JTK7qAvJyDYTDYS/s1600/DSCF5631.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-ozV2-1-pzuSXFl3w3_Ro4orGnzvW1__P2nMnKrIzro0cwItgZwYTPxitc0iVnbXm7nrWqg7qT8X3klWozkCpTzau9VedmGdTvzfxDTyMNMjb9RriWKgheSYDUneZ8JTK7qAvJyDYTDYS/s72-c/DSCF5631.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/07/wanahabari-kilimanjaro-wapigwa-msasa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/07/wanahabari-kilimanjaro-wapigwa-msasa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy