MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI WATOA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPTALI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI.

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,Maawenzi wakiwa  wamebeba ...




Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,Maawenzi wakiwa  wamebeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kutoa kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo
Katibu wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro,Mawenzi ,Boniface Lyimo akizungumza mara baada ya kuwapokea Madiwani hao na kutoa maelekezo ya namna ya kutoa zawadi hizo kwa wagonjwa waliolazwa katika Hospitali hiyo.

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,wakielekea katika wodi walimolazwa wagonjwa kwa ajili ya kutoa zawadi.
Mwenyekiti wa Madiwani wa Chadema na Diwani wa kata ya Kiusa,Stephen Ngasa akikabidhi zawadi ya sabuni ya unga kwa wagonjwa waliolazwa katika Hopstali ya Mawenzi.
Diwani wa kata ya Mawenzi,Hawa Mushi akitoa zawadi kwa mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo.
Diwani wa kata Pasua ,Charles Mkalakala akikabidhi zawadi kwa mmoja wa wagonjwa katika Hospitali hiyo.
Madiwani wakiongojea kuingia katika wodi nyingine kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wagonjwa katika hospitali hiyo. 

Madiwani wakitoa zawadi katika wodi ya wanawake Hospitali ya Mawenzi
Mwenyekiti wa Madiwani wa Chadema,Stephen Ngasa akizungumza na baadhi ya viongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,awenzi mara baada ya kuhitimisha zoezi la kutoa zawadi kwa wagonjwa pamoja na kusafisha mazingira katika Hospitali hiyo.
Mwenyekiti wa Madiwani wa Chadema, Stephen Ngasa akiagana na katibu wa Hospitali ya Mawenzi, Boniface Lyimo mara baada ya kuhitimisha zoezi la kutoa zawadi na kusafisha mazingira ya hosptali hiyo.

(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI WATOA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPTALI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI.
MADIWANI KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI WATOA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPTALI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgY9PsW3n3s0nAHxh1NlSlQ14SGYLJ1tdvqmZU3vhT5rNC24QrU4DaEn10vSIXpYOKFJo5llwDpZSad301OTbuOcl4YxiXkuCVSilDQRLyuyoUGr8FIeOB2uyKURDpesKbxx_hGNNW2jmIv/s640/_MG_0029+%25281024x683%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgY9PsW3n3s0nAHxh1NlSlQ14SGYLJ1tdvqmZU3vhT5rNC24QrU4DaEn10vSIXpYOKFJo5llwDpZSad301OTbuOcl4YxiXkuCVSilDQRLyuyoUGr8FIeOB2uyKURDpesKbxx_hGNNW2jmIv/s72-c/_MG_0029+%25281024x683%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/madiwani-katika-halmashauri-ya-manispaa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/madiwani-katika-halmashauri-ya-manispaa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy