MAY MOSI DAY MAADHIMISHO KATIKA PICHA UWANJA WA UHURU DAR LEO

MAY MOSI DAY MAADHIMISHO KATIKA PICHA UWANJA WA UHURU DAR LEO. Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wafanyakazi wakati wa maandamano katika uw...

MAY MOSI DAY MAADHIMISHO KATIKA PICHA UWANJA WA UHURU DAR LEO.
Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wafanyakazi wakati wa maandamano katika uwanja wa Uhuru kwenye maadhimisho ya May Mosi Dar es Salaam leo. Kulia ni Mke wake Mama Salam, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (kushoto) Kaimu Rais wa TUCTA, Notburga Masikini (wa tatu kulia) na Katibu Mkuu wa TUCTA, BNicholaus Mgaya.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa ATE, Almasi Maige alipowasili kwa sherehe za May Mosi uwanjan wa Uhuru Dar leo. 

Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika sherehe za May Mosi Dar es Salaam leo. Kulia ni Waziri, Kabaka, Waziri wa TAMISEMI, Hawa Ghasia na Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige.  





Rais Jakaya Kikwete na viongozi mbalimbali wakiimba wimbo wa 'Solidarity foever' kwenye sherehe za May Mosi Dar es Salaam leo.



Baadhi ya waliohudhuria sherehe hizo.




Wafanyakazi wa kampuni ya Bakheresa wakimwonesha Rais Kikwetwe kombe la Timu Bingwa ya Mwaka 2014 Azam katika sherehe hizo.

Kaimu Rais wa TUCTA, Notburga Masikini(kushoto) akigana na balozi mdogo wa Kenya nchini Tanzania, Angeline Musili baada ya kuhudhuria May Mosi leo.

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhimfano wa hundi ya shilingi milioni Tano, Herman Kachima baada ya kuibuka mfanyakazi bora.











































Rais Jakaya Kikwete akimkabidhizawadi Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Ludovick Utouh baada kuibuka mfanyakazi bora kwenye May Mosi leo.










Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Swissport Gaudence Temu baada ya kuibuka mfanyakazi bora May Mosi Dar es Salaam leo







Wafanyakazi wa TSN limited.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAY MOSI DAY MAADHIMISHO KATIKA PICHA UWANJA WA UHURU DAR LEO
MAY MOSI DAY MAADHIMISHO KATIKA PICHA UWANJA WA UHURU DAR LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH-SyH0fzqe-eAGZ5x85-hR2MZEFBLUytT9yJancCyhNIRWvMZJzRS2l5Yf1WZ5zNpSfsBa1oqD2gioFyGGvVj21fmH8fkuRaJUuDJOpYUTKKra6sbdFW05-V1NXDaFEPP4hSFirf5zvU/s1600/JK+MAY+HOYEEE.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH-SyH0fzqe-eAGZ5x85-hR2MZEFBLUytT9yJancCyhNIRWvMZJzRS2l5Yf1WZ5zNpSfsBa1oqD2gioFyGGvVj21fmH8fkuRaJUuDJOpYUTKKra6sbdFW05-V1NXDaFEPP4hSFirf5zvU/s72-c/JK+MAY+HOYEEE.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/05/may-mosi-day-maadhimisho-katika-picha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/05/may-mosi-day-maadhimisho-katika-picha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy