MKUTANO WA SITA WA WADAU WA LAPF WAFANYIKA JIJINI ARUSHA Viongozi wakielekea ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili kwenye ukumbi ...
MKUTANO WA SITA WA WADAU WA LAPF WAFANYIKA JIJINI ARUSHA
Viongozi
wakielekea ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili kwenye ukumbi huo wa
mikutano wa AICC, jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa
sita wa Wadau wa LAPFA. Kutoka (kushoto) ni Eliud Sanga Mkurugenzi Mkuu, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia
Kabaka, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia, Prof. Hasa Mlawa na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akitunukiwa zawadi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia.
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio nao walikuwepo.
Waziri
wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, akifunga Mkutano Mkuu wa 6 wa LAPF
mjini Arusha. Kushoto ni Waziri Ghasia, Mkurugenzi Mkuu wa LAPF, Eliud
Sanga. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.
Waziri
wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akisalimiana na Mkurugenzi wa Uendeshaji,
LEPF Valerian Mablangeti. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene
Isaka.
Waziri
wa Kazi, Gaudensia Kabaka, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya
Udhamini wa LAPF, Profesa Hasa Mlawa. Wanoshuhudia ni Waziri Ghasia, Mkurugenzi Mkuu SSRA Irene
Isaka na Mkurugenzi Mkuu LAPF Eliud Sanga.
Waziri wa TAMISEMI, Hawa Ghasia akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Irene Isaka.
COMMENTS