Mfanyabaishara katika soko la Kunduchi jijini Dar es Salaam, akisikiliza Zuhra Muhagama wakati wa promosheni ya kuhamasisha wananchi k...
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjveq1El5k5OuYmwOXatPnl1Gs8XcsPCmqw7YJTiXiL2fxQLfH38YJVhZOAfxPZgtofxEtshsOrjttoPqWd0t_B8VzF1oPUMraUvNg_BobJbnv8JyxrHr1Z_Lkl8Xqs05vHmcmFuxZ6Xkw/s640/picha+1-781437.JPG) |
Mfanyabaishara katika soko la Kunduchi jijini Dar es Salaam, akisikiliza Zuhra Muhagama wakati wa promosheni ya kuhamasisha wananchi kutumia vyakula vyenye nembo
ya Virutubisho, Promosheni hiyo inaongozwa na Wizara ya Afya na Ustawi
wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Wilaya za
Kinondoni, Ilala na Temeke za Dar es Saalam iliyoanza leo. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhP2ISW-OFP8KVYF8H6O1aY0fnCE7YMUGyhaNOtDjBiP_pCrI3i9TG3VW0ZU93dfD55r5jGpUUKh06mVB4CxrgXu5PdxzrVuEWriNsqk-LOAAx24dbC-MI6z6QGhq39WhpNuCgqeVfcvGo/s640/picha+2-784575.JPG) |
Akina mama wakazi wa Tegeta jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Bless Benard ( kushoto) wakati alipokuwa akiwapa elimu ya utumiaji wa
vyakula vilivyoongezwa virutubisho wakati wa Kampeni inayoendelea ya
kutumia vyakula vyenye nembo ya virutubisho. Kampeni hiyo inaendeshwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasisi ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA). |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnMlel6CF3yzlfPknSa2L8b8oRBygXlecBTLK8MYPYtKsVzdtlE8VAVLwoWJ4wh_VUmWB1KVLvTh4POtqxuU4PfwZKh0Givzgud5YiIJa-lE9CrnrnRlFjNqM47LJCemVs1b6e5dZE_O8/s640/picha+3-786955.JPG) |
Mama akiwa amebeba tenga lenye ukindu akimsikiliza kwa makini Bless Bernard wakati akimpa elimu ya utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubisho wakati wa Kampeni inayoendeshwa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kupitia Taasis ya Chakula na Dawa Tanzania. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiTUc9vSWDoa_DBsKOPhyphenhyphenRzMEjjfIcCyphPSI4XzWco3be3KkAVk0ziqHmLw6yWcbWSiXaSx12QYY407Cw-lQjIVjj_Fqh7ST-pugYvd5VYcCoZi4lO_gxvTOR5H8qlYUfNSzMQ6Oug2v0/s640/picha+4-789946.JPG) |
Mfanyabiashara ya Duka katika eneo la Mbezi Beach Dar es Salaam akipokea kipeperushi kutoka kwa Zuhura Hussein wakati alipofika dukani kwake kutoa elimu ya kuuza vyakula vyenye nembo ya virutubisho. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVEo9Hme74qdg0h7RwzNoe3nWdJIprJGV-aSDjl69bbMYZYMVBFxNaqmtdC3RQox1Ax75ieMoZCdCCj66XihL8I8spQ4diR-a4AbbVSUW-TQflQqMJuy4HZsj6KN7JsOGkQXSrzEmvnUM/s640/picha+5-792836.JPG) |
Wafanyabaishara ya vifaa vya magari na
bajaj katika eneo la Makonde Mbezi Dar es Salaam, wakimsikiliza Rosemay
Elisha wakati alipokuwa akiwapa elimu ya utumiaji wa vyakula vyenye vitutubisho, Kampeni hiyo. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_1KFZbBPVl71WEkttd8DLklu6dMau-kUlN8p-nes-GzCcoQx5haclqeFNH1zHXbpyBFLHWoIGORGJg7XbytqQgUBQ4l9GWHNgDPhLo_2BbOGD9zQkrl7z8UhezT6oSItOHg76oymzG0U/s640/picha+6-795684.JPG) |
Mfanyabiashara wa mihogo na miwa akimsikiliza mmoja wa akina dada waliopita katika mitaa ya ukwamani Kawe Dar es Salaam, kuhamasisha utumiaji wa vyakula vilivyoongezwa virutubisho. |
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwmFAbiN_WkylXeYA8gdVykfh-kZDC8fo3F2dONSgGRzd_aYZckLWEjRp7ITLrcak5cNTfEwc9snTbGDVawWoNQhQUwP85HxWxFISE5WvRbo22wLgFNq1ml4mamLSEJbSBIghL_P0V97U/s640/picha7-797930.JPG) |
Mwendesha bodaboda katika kituo cha Jogoo Mbezi Beach Dar es Salaam, akimsikilza Bless Bernard wakati alipokuwa akiwapa elimu ya utumiaji vyakula vyenye nembo ya virutubisho. |
COMMENTS