Mwimbaji wa bendi ya muziki wa taarabu ya Jahazi Mzee Yusuf (kushoto) akiwa na Msanii wa Filamu, Kulwa Kikumba maarufu kama "Dude...
Mashabiki wake waliofurika katika uzinduzi wa filamu yake ya Kamwe Sitokuacha aliyoitunga kwa kuwashirikiana na wasanii mahiri kutoka Bongo Moves.
|
Mashabiki waliofurika katika uzinduzi wa filamu hiyo. |
Mke wa Mzee Yusuph, Leila Rashid akiwapagawisha mashabiki wa muziki huo waliofurika
|
Baadhi ya wasanii wakongwe maarufu walioshiriki katika filamu ya Kamwe sitokuacha iliyochezwa na Mzee Yusuph wakijitambulisha kwa mashabiki.
|
Mzee Yusuph akiwaimbia mashabiki wake.
|
Msanii Kulwa Kikumba maarufu kama "Dude" (wa pili kulia) na wasanii wengine katika uzinduzi wa filamu hiyo. |
COMMENTS