Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakati alipoziandua kinu ...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawenge wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakikagua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa. Kulia kwake ni Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya Chief Kidulile wilayani Ludewa kabla ya kuweka jiwe la msingi la Jengo la maabara akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya Chief Kidulile.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chef Kidulile wialyani Ludewa.
|
Mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda (watatu kushoto) akiserebuka pamoja na wanwake wa Ludewa katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu.
|
Wasanii ya Ludewa wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Ludewa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
COMMENTS