Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la aliyekuwa diwani wa Kata ya Nduli (CCM) Iddi Chonanga katika mazishi yaliyofa...
Waziri Mkuu, Mizengo Pida akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa diwani wa Kata ya Nduli, marehemu, Iddi Chonanga wa CCM katika mazishi yaliyofanyika Iringa mjini leo.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye pia ni mlezi wa CCM Mkoa wa Iringa akitoa salamu za CCM katika mazishi hayo.
|
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (aliyekaa kushoto) akiwa na baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika mazishi haya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
COMMENTS