Mama lishe Kuluthum Sadiki akiangua kilio huku mwanaye Halima akiangalia baada ya mgambo wa jiji kumwaga maharage, nyama na supu na chai ...
Mama lishe Kuluthum Sadiki akiangua kilio huku mwanaye Halima akiangalia baada ya mgambo wa jiji kumwaga maharage, nyama na supu na chai katika eneo la Tazara Dar es Salaam.
|
Mgambo wakiwa katika zoezi la kuafisha jiji. |
Mgambo wa jiji wakichukua vyombo vya mama lishe katika kampeni za kusafisha jiji eneo la Tazara Dar es Salaam.
|
Wakazi wa jiji wakiangalia maharage na na nyama baada ya kumwagwa na mgambo hao.
|
Mama lishe Kuluthum Sadiki na mwanaye Halima akisikisitika baada ya kukumbwa na janga hilo.
|
MAHARAGE NA NA MAJIKO BAADA YA MGAMBO KUPITA HAPO |
Mgambo wakiondoka na vifaa vya mama lishe baada ya kutimua mbio kwenye zoezi la safisha jiji eneo la Tazara Dar es Salaam.
|
COMMENTS