Mfalme Mswati wa Swaziland (kulia) akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimatai...
|
Mfalme Mswati wa Swaziland (kulia) akimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere.
|
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwongoza Mfalme Muswati wa Swaziland kutembelea banda ya maonyesho baada ya mfalme huyo kufungua maoinyesho ya kimataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 1, 2013.
|
|
Mfalme Mswati wa Swaziland (kulia) na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda walipotembelea baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere.
|
|
Mfalme Mswati wa Swaziland (kulia) na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakitazama dawa za aina mbali mbali wakati walipotembelea banda la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya mfalme huyo kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Julius Nyerere. (Picha na OWM)
|
COMMENTS