Wasanii wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakitumbuiza wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya JKT 831 KJ Mgulani Dar es Salaam Julai 4 201...
 |
Wasanii wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakitumbuiza wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya JKT 831 KJ Mgulani Dar es Salaam Julai 4 2013.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizindua mnara wa kumbukumbuka katika uzinduzi wa maadhimisho ya hayo. Anayemsaidia na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe.
|
 |
Kikundi cha Sarakasi cha JKT wakitoa wakionesha umahiri wa mchezo huo katika maadhimisho hayo.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiangalia moja ya vikoi vinavyotengenezwa na Chuo cha Mgulani Dar es Salaam wakati wa kukagua bidhaa shughuli zinazofanywa na wataaluma wa Jeshi hilo jana. Anayetoa maelezo ni Sejenti Dina Maskini Bunyoga (kulia).
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu wakiwa na baadhi ya wanajeshi.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu na wanakwaya ya Oljoro na bendi ya jeshi hilo.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu wakiwa na maofisa jeshi.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu na baadhi ya maofisa wa jeshi.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu na maofisa waandamizi wa jeshi.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Mhandisi Mussa Iyombe (wa pili kushoto), Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba (kushoto), Mkuu wa JKT, Meja Rafael Muhuga (wa pili kulia) na Kamanda wa Ardhini, Meja Jeneral Salum Kijuu pamoja baadhi ya makatibu wakuu na viongozi wengine.
|
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akiteta na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni General Samuel Ndomba.
 |
Wanakwaya wa JKT Oljoro wakitumbuiza wakati wa maadhimisho hayo.
|
 |
Wacheza ngoma wa JKT wakionogesha maadhimisho hayo.
|
 |
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipata maelezo ya bidhaa zinazotengenezwa na Chuo cha mafunzo cha Mgulani kutoka kwa Mwalimu Elice Nditije.
|
 |
Katibu Mkuu Mkuu Kiongozi akipata maelezo juu huduma afya zitolewazo na Hospitali ya JKT Mgulani.
 |
Katibu Mkuu akiagana na viongozi waandamizi wa Jeshi.
|
 |
Katibu Mkuu akiongea jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Mbarak Abdulwakil.
 |
Katibu Mkuu akiondoka baada ya kumaliza ufunguzi huo.
|
|
|
COMMENTS