Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionesha tuzo ya heshima ya kwa aliyomkabidhiwa na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa kwa niaba ya R...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, George Mkuchika baada ya kufungua semina ya APNAC. Katikati ni Spika wa Bunge Anne Makinda.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge
Anne Makinda (katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, George Mkuchika baada ya kufungua semina ya APNAC.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, George Mkuchika kwenye viwanja vya Hoteli ya African Dream mjini Dodoma.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa (kulia). Katikati ni ni Jaji Kiongozi, Fakih Jundu.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Habari , Vijana na Michezo, Amos Makala kwenye viwanja vya Hoteli ya African Dream mjini Dodoma.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa (katikati) na Jaji Kiongozi, Fakih Jundu.
|
COMMENTS