VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WAKUBALI KUTUMIA FURSA KUJIAJIRI WENYEWE NA KUAJIRI WENGINE

Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu  akimkabidhi, Selina Otacho mshiriki wa mafunzo ya kuwajeng...

Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu  akimkabidhi, Selina Otacho mshiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana wahitimu  wa vyuo vikuu kutoka maeneo mbalimbali  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6 zilizotolewa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kutokana wazo lake la mradi wa utengenezaji wa sabuni za maji kushinda baada ya kupitiwa na wataalam wa Baraza la Uwezeshaji (NEEC) na Kituo cha Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Juni 1 2013.
Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu  akiwaonesha washiriki wa mafunzo mafunzo ya kuwajengea Uwezo vijana wahitimu wa vyuo vikuu  kutumia fursa zinazowazunguka kujiajiri wenyewe moja ya sabuni ya maji iliyowekwa katika vifungashio vya kisasa na kuahidi kuunga mkono juhudi zake za kupambana na umasikini.
Vijana waliohitimu mafunzo ya wiki 3 ya kujengewa uwezo wa kutumia fursa zinazowazunguka kujiajiri wenyewe na kuajiri wengine wakimsikiliza waziri wa Uwezeshaji Dk. Mary Nagu wakati akifunga mafunzo hayo.
Mshindi wa kwanza kati ya Vijana 40 walioshiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana wahitimu wa vyuo vikuu Bw. Anthony Mhanda akionyesha kwa furaha mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 alizokabidhiwa na Baraza la Taifa la Uwezehaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) leo jijini Dar es salaam kufuatia mradi wa ufugaji wa nyuki aliouandika kushika nafasi ya kwanza.
Dk. Mary Nagu  akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya wiki tatu ya ujasiriamali, Norvart Zedekiah
Mkurugenzi wa Vijana nchini kutoka Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa miongoni mwa wataalam walioshiriki kuwajengea uwezo vijana hao.
 

Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akiwa katika picha ya pamoja na vijana wahitimu wa vyuo vikuu kutoka mikoa mbalimbali nchini waliohitimu mafunzo ya wiki 3 ya kujengewa uwezo wa kutumia fursa zinazowazunguka kujiajiri na kuajiri vijana wengine. (Picha na Aron Msigwa - MAELEZO).

 
 
 
 
 
 
 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WAKUBALI KUTUMIA FURSA KUJIAJIRI WENYEWE NA KUAJIRI WENGINE
VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WAKUBALI KUTUMIA FURSA KUJIAJIRI WENYEWE NA KUAJIRI WENGINE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIR7j_Oppl98Kh399MOnCMAU3UkqreAStMltsspweHmq-UppCDeqVWyQ13Yy7kjAJLJQLJFDrzjsgpkTx_h2ZZPh2rIrUln_s7h4rAuSx94NMRIE00OU_Rrd7SbWrDjoWNZGaQATrWAFc/s640/Picha+na+1-730389.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjIR7j_Oppl98Kh399MOnCMAU3UkqreAStMltsspweHmq-UppCDeqVWyQ13Yy7kjAJLJQLJFDrzjsgpkTx_h2ZZPh2rIrUln_s7h4rAuSx94NMRIE00OU_Rrd7SbWrDjoWNZGaQATrWAFc/s72-c/Picha+na+1-730389.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/05/fwd-vijana-wahitimu-wa-vyuo-vikuu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/05/fwd-vijana-wahitimu-wa-vyuo-vikuu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy