Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwaasa waheshimiwa wabunge kutumia lugha ya kistaarabu kuchangia mijadala Bungeni. Mhe. Catherine M...
| ||
Mhe. Catherine Magige, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) akichangia Mjadala leo |
Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtembu akichangia Mjadala |
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojia Mhe. January Makamba akijibu baadhi ya hoja zilizochangiwa Bungeni leo |
Mbunge wa Mwibara Mhe. Kangi Lugola, akiomba Mwongozo kwa Spika Bungeni. |
Mbunge
wa Viti Maalum (CUF) Mhe. Kuruthum Mchuchuli akichangia kwa hisia mjadala leo
Bungeni.
|
Waziri
Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa akifuatilia kwa makini mijadala
Bungeni leo.
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachuo wa chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere cha Kigamboni Dar es Salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 16, 2012. |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachuo wa chuo hao. |
COMMENTS