Waziri wa Ardhi, Nyumba na makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kulia) akiongea na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu (katikati) pamoja na Naibu Wazir...
|
Waziri wa Ardhi, Nyumba na makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kulia) akiongea
na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu (katikati) pamoja na Naibu Waziri wa
Kilimo Chakula na Ushirika, Adam Malima katika viwanja vya Bunge Feb 9
2013. |
|
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa (kulia) akiongea na Mbunge wa Ilala Mussa Zungu. |
|
Mwanasheria Mkuu wa serikal Jaji Fredrick Werema (kulia) akisalimiana na Mama Tunu Pinda |
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ajibadilishana mawazo na mbunge wa Viti Maalum
wa (CCM) Ritha kibati baada ya kuahiriswa kwa kikao cha Bunge mjini
Dodoma Feb 9 2013. |
COMMENTS