Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu Meja Jenerali Salum Kijuu (kulia) akimuongoza Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu (kushoto) kwenda kufungua...
|
Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu Meja Jenerali Salum Kijuu
(kulia) akimuongoza Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu (kushoto)
kwenda kufungua mazoezi ya kawaida ya maafisa na askari kutoka brigedi
401 kv Songea ambalo linawashirkisha zaidi ya wanajeshi 1600 kutoka
vikosi mbalimbali vya Brigedi hiyo. |
|
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiwa ameshika
bendera ya jeshi la ulinzi wa Tanzania katika kikoso cha jeshi ilo
Chabruma wilayani Songea. |
|
Mkuu wa Jeshi la nchi Kavu Meja Jenerali Salum Kijuu
(kulia) akipokea bendera ya jeshi kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Said Mwambungu katika kikosi cha jeshi Chabruma hicho, ikiwa ni ishara ya
kuanza kwa mazoezi ya kijeshi kwa maafisa na askari wa brigedi ya 401 KV Songea ambapo zaidi ya wanajeshi 1600 wanashiriki katika mazoezi hayo.(Picha na Muhidin Amri) |
COMMENTS