TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MKURUGENZI WA UNDP NCHINI

           JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA     WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HAB...


           JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
   WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKITAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Serikali yamuondoa Mkurugenzi wa UNDP nchini
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeliagiza Shirika la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (United Nations Development Programs – UNDP) kwa upande wa Tanzania kumuondoa nchini Mkurugenzi wa Shirika hilo Bi. Awa Dabo.
Serikali ilifikia uamuzi huo kutokana na  Bi. Dabo kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya Watumishi wenzake na Menejimenti ya Shirika hilo, hivyo kupelekea kuzoretesha utendaji wa shirika hilo nchini na kupunguza kasi ya kuleta maendeleo kwa Watanzania endapo hatua za haraka zisingechukuliwa.
Baada ya kuthibitishiwa kuondoka nchini, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imetoa rai kwa UNDP kuwakumbusha Watumishi wake kuwa kipaumbele chao ni kufanya kazi na Serikali ili kufikia malengo yaliyoainishwa kwenye Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2025, Mpango wa Maendeleo wa Miaka mitano na Malengo ya Maendeleo Endelevu ambayo yamefafanuliwa katika Agenda ya Mwaka 2030.  

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasilino ya Serikali kwa Umma,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma, 25 Aprili, 2017.

COMMENTS

BLOGGER: 1
Loading...
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MKURUGENZI WA UNDP NCHINI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MKURUGENZI WA UNDP NCHINI
https://docs.google.com/drawings/u/0/d/snASw3NQQB6r03NIWOohOTw/image?w=628&h=111&rev=1&ac=1
https://lh5.googleusercontent.com/VsXZ9AcEmbnK4yAg9_abQ427pRPV5RdXuBoTR0w1LqHglwoAO22gcbNyyUc2_tWA6WGV0kuSm1q8RgspG8jhYyvweRPoyNETwVLcdU_ZdiduCQWzKkqHS-oinLZgnnmT1z5PmL1esj3LV9v_iw=s72-c
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-kuhusu.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-kuhusu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy