PICHA: MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI

HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...

HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI

MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha kuwa ndiye mwanamke mwenye ‘hips’ kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa zaidi ya futi 8.
Mama huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100 kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mikel mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa kwa vile mwili wake mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti chenye uimara wa ziada nyumbani.MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha kuwa ndiye mwanamke mwenye ‘hips’ kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa zaidi ya futi 8.
Mama huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100 kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mikel mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa kwa vile mwili wake mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti chenye uimara wa ziada nyumbani.
The Sun la Uingereza linaandika kuwa bibie huyo aliyekuwa na kilo 63 utotoni anajiskia fahari kwa umbile lake hilo na hana mpango wa kupunguza uzito, japo kuwa wakati mwingine anapata kero. Anasema: “Popote napokwenda, kwa uzuri au ubaya, ‘hips’ zangu zimekuwa zikwashtua watu.
“Napokuwa mitaani nikitembea huwa naskia milio ya kupigwa picha kwa simu na kamera huku watu wengine wakinicheka.
“Baadhi ya watu wanadhani nimefanya upasuaji kuongeza figa langu, lakini hii ni halisi. Nadhani ni matokeo ya kuzaa watoto wanne, lakini hips kubwa zipo kwenye familia yetu”
“Naposafiri kwa ndege au treni nalazimika kununua siti za watu wawili kwasababu makalio yangu hayataenea kwenye siti moja”.

MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha kuwa ndiye mwanamke mwenye ‘hips’ kubwa zaidi duniani akiwa na mzunguko wa zaidi ya futi 8.
Mama huyu wa watoto wanne amekuwa akipata shida kupitisha umbile lake la inchi 100 kwenye mlango na anahitaji nafasi ya watu wawili kwenye ndege.
Mikel mwenye umri wa miaka 39 anaendesha magari makubwa kwa vile mwili wake mwenye kilo 190 hauwezi kukaa kwenye magari madogo na anahitaji kiti chenye uimara wa ziada nyumbani.wameandika jamaa wa www.saluti5.com

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: PICHA: MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI
PICHA: MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI
http://wa3.cdn.morefm.co.nz/morefm/AM/2013/1/18/5676/widest_hips.jpg
http://2.bp.blogspot.com/-foJmpmb44mQ/UPzU1V2ltyI/AAAAAAAAQd4/jYvx1YO9wng/s72-c/Big1_1657890a.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2013/01/picha-mwanamke-mwenye-makalio-makubwa.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/01/picha-mwanamke-mwenye-makalio-makubwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy