Army Nando awasili Los Angeles, California. Mfanyabiashara maarufu Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (katikat...
Army Nando awasili Los Angeles, California.
Mfanyabiashara maarufu Davis Mosha, Edgar D. Mosha, Mayor wa L.A. Deo Temba (katikati nyuma) na Army Nando.
Davis Mosha akimpa ushauri Army Nando agange yajayo na kusahau yaliyopita. 'It was just a game'
Nancy Assenga ( Mama wa Army Nando), Army Nando, na Deo Temba L.A. Mayor.
Mayor wa L.A. Deo Temba, Army Nando, Nancy Assenga (mama na meneja) na mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV ,Alex Kassuwi baada ya kumpokea Nando Los Angeles, California.
Juliet Luangisa, Army Nando na Nancy Assenga (Mama na Meneja wa Nando)
Mkurugenzi Mtendaji Swahili TV Bwana Alex Kassuwi, Army Nando, Walter Minja, Deo Temba na Nancy Assenga-Meneja wa Nando wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumpokea Army Nando Marekani.
Davis Mosha katika msafara aliwakaribisha pia chakula cha jioni watanzania zaidi ya ishirini katika hoteli ya bei ghali L.A. Yard House ambayo ipo Downton katikati ya Uwanja wa Lakers (Staples Center) na JW Marriott Hoteli.
Army Nando na Nancy Assenga (Mama mzazi na Meneja wake) wakifurahia chakula katika Yard House Hoteli Downtown L.A.
Mayor wa L.A. Deo Temba naye aliwakilisha jiji lake.
Juliet Luangisa na Walter Minja wakiburudika kwa misosi ya Yard House.
Wakati wa mahojiano........Mahojiano tena.
Mahojiano, yakiendelea.
Nando, akihojiwa na Swahili Tv.
COMMENTS