Mmoja wa waumini wa dini ya Kiislamu wa msikiti wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Dodoma akichuna mbuzi baada ya kuchinja kama sehemu...
![]() |
Mmoja wa waumini wa dini ya Kiislamu wa msikiti wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Dodoma akichuna mbuzi baada ya kuchinja kama sehemu ya ishara ya sikukuu ya Eid Ul-Adha mjini Dodoma leo.
|
![]() |
Mmoja wa waumini wa dini ya Kiislamu wa msikiti wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Dodoma akichuna mbuzi baada ya kuchinja kama sehemu ya ishara ya sikukuu ya Eid Ul-Adha mjini Dodoma leo.
|
![]() | |
Wanawake wa dini ya kiisilamu wakifuatilia ibada katika msikiti wa Gadaff mjini Dodoma. |
![]() | |
Waumini wa msikiti dini ya Kiislamu wa waliohudhuria swala ya Eid Ul-Adha katika msikiti wa Gadaff mjini Dodoma wakisikiliza mawaidha toka kwa imamu (hayupo pichani) leo wakati wa ibada. |
![]() |
Baadhi ya watoto walioshiriki swala ya Eid Ul-Adha katika msikiti wa Ghadafi leo. (Imeandaliwa na Robert Okanda na Banda Blog) |
COMMENTS