TPB YAKUTANA NA WAHARIRI KUELEZEA MAFANIKIO ILIYOFIKIA KWA MIAKA SITA NA MKAKATI WA KUIPAISHA BENKI HIYO

  Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja ...











 Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa juu wa Jukwaa la Wahariri
Tanzania (TEF) wakati wa hafla ya kuwapa tuzo kutambua mchango wao Dar es Salaam leo. 

Kutoka (kushoto) ni Makamu Mwenyekiti wa TEF,  Deodatus Balile, Mwenyekiti Theophil Makunga, na mwakilishi wa Katibu Mkuu wa TEF, Martin Malera baada ya kuwakabidhi tuzo za kutambua mchango wa vyombo vya habari katika kuwaelimisha wananchi juu ya huduma zitolewazo na benki hiyo kongwe hapa nchini na kwa kuchaguliwa kwao kuwa viongozi wapya wa TEF. 
 Tukio hili lilifanyika wakati wa hafla ya kila mwaka
inayoandaliwa na benki hiyo ya kukutana na wahariri kuzungumzia mafanikio na changamoto za benki hiyo
  na malengo
iliyojiwekea mwaka huu
. (Picha na K-VIS
MEDIA/Khalfan Said)

NA K-VIS MEDIA/Khalfan
Said
BENKI ya Posta Tanzania, (TPB), imekutana na wahariri wa vyombo vya habari hapa nchini, na uongozi mpya wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, na kuelezea mafanikio ambayo Benki hiyo kongwe hapa nchini imeyapata katika kipindi cha kuanzia mwaka 2010 hadi 2016. Pia Benki hiyo imeeleza mkakati wake mpya wa kuifanya benki hiyo kuwa moja ya mabenki makubwa kabisa sio tu hapa nchini bali nje ya mipaka ya nchi ambapo sasa inatarajia kuwa na jengo lake la kisasa.
Akizungumza kwenye hafla hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Ijumaa usiku Machi 18, 2016, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Moshingi alisema, mafanikio ya benki hiyo yanatokana na kuweza kuingiza makundi mengi zaidi kufungua akaunti na kuwa na utamaduni wa kuweka akiba ambapo kila uchao idadi ya wateja wapya inazidi kuongezeka.

Ramani ya Tanzania ikionyesha mtandao wa
benki ya posta Tanzania, TPB
Pia alisema, benki hiyo imeziti kutanua mtandao wake kwa kuboresha muonekano wa matawi ya benki hiyo katika mikoa 26 ya bara na visiwani. Alsiema sambamba na matawi hayo huduma za kibenki zinapatikana kote nchini kwenye ofisi za posta.


 Makamu mwenyekiti wa TEF, Deodatus
Balile akipokea tuzo yake
 Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Bloggers nchini (TBN) Joachim Mushi,
(kulia), Makamu Mwenyekiti wa TBN, Khadija Kalili Mmiliki wa K-VIS MEDIA na K-VIS Blog, Khalfan Said,
(kushoto) na Mhariri Mtendaji wa Business Times/Majira,
Imani Mbuguni (wa pili kushoto).
 Moshingi akitoa maelezo ya kina kuhusu huduma za TPB, mafanikio iliyopata na malengo yake ya baadaye.
 Wahariri wakiwa kwenye hafla hiyo.
 Moshingi akitoa maelezo ya kina kuhusu huduma za TPB, mafanikio iliyopata na malengo yake ya baadaye.
 Deodatus Balile akizungumza kwenye hafla hiyo
 Mhariri Mtendaji wa gazeti la The Guardian, Wallace Mauggo, akizungumza kwenye hafla hiyo.
 Mhariri wa Biashara wa gazeti la
Daily News, Henry Lyimo akizungumza kwenye hafla hiyo.

 Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi akizungumza kwenye hafla hiyo.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania, Theophil Makunga akizungumza.


 Mhariri Mtendaji wa EFM Radio, Scholastica Mazula, akizungumza. 
Meneja Mkuu anayeshughulikia masuala ya shirika, na mahusiano ya umma wa TPB Noves Moses, akizungumza kwenye hafla hiyo. 
 Mkurugenzi wa matekelezo na udhibiti majanga, Moses Manyatta akizungumza.
 Moses Nyenyembe, Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa TPB akitoa mchango wake. 

 Mkurugenzi wa wateja na Biashara wa TPB, Henry Bwogi akiongea.

 Mkurugenzi wa Teknolojia na Operesheni wa TPB, Jema Msuya akitoa mchango wake katika hafla hiyo.

 Mkurugenzi wa masuala ya sheria na katibu wa bodi ya TPB, Mystica Mapunda Ngongi akiongea naye machache.

 Manyerere Jackton, Mhariri wa gazeti la Jamhuri akitoa maoni yake katika hfla hiyo.

 Picha ya pamoja ya waliohudhuria hafla hiyo. 

Afisa Mtendaji Mkuu, Sabasaba Moshingi, akiteta jambo na Afisa wa mawasiliano wa TPB, Theo Mwakifulefule.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TPB YAKUTANA NA WAHARIRI KUELEZEA MAFANIKIO ILIYOFIKIA KWA MIAKA SITA NA MKAKATI WA KUIPAISHA BENKI HIYO
TPB YAKUTANA NA WAHARIRI KUELEZEA MAFANIKIO ILIYOFIKIA KWA MIAKA SITA NA MKAKATI WA KUIPAISHA BENKI HIYO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfL6kYQL53TamLI73ei_xrccYXgxWu7SCCtldlJOItKa_TswyIwSZqnlu_hlNzpFsxm4fIHR93C4jwUP_uVJ9LBY8gOU-6DD9AMrn2Fa44WPPuW1ipDkV1cxr2kPDqtezG06SS4Bvd5zXw/s640/B1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfL6kYQL53TamLI73ei_xrccYXgxWu7SCCtldlJOItKa_TswyIwSZqnlu_hlNzpFsxm4fIHR93C4jwUP_uVJ9LBY8gOU-6DD9AMrn2Fa44WPPuW1ipDkV1cxr2kPDqtezG06SS4Bvd5zXw/s72-c/B1.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2016/03/tpb-yakutana-na-wahariri-kuelezea.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/03/tpb-yakutana-na-wahariri-kuelezea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy