JOKA AINA YA CHATU LILILOKUTWA LIKIJEREA KWENYE NYUMBA YA MFANYABIASHARA MAARUFU WA JIJINI ARUSHA LAUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA ...
JOKA AINA YA CHATU LILILOKUTWA LIKIJEREA KWENYE NYUMBA YA MFANYABIASHARA MAARUFU WA JIJINI ARUSHA LAUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA
Joka
hilo kubwa aina ya Chatu likiwa nje ya Nyumba ya mfanyabiashara huyo,
ambalo lilikutwa likiwa limefungwa Kitambaa cheupe kilichokuwa na
maandishi ya Kiarabu, ambapo wananchi wamefananisha suala hilo na imani
za kishirikina. Joka hilo baada ya kudhibitiwa liliburuzwa hadi katika
Kanisa Katoliki la Karsamatiki lililopo eneo la Sakina jijini Arusha na kupigwa hadi kufa na wananchi.
Chatu huyo akiburuzwa kuelekea kucharangwa baada ya kuuawa.
Jamaa akiwa na shoka baada ya zoezi la kumcharanga chatu huyo.
Nyumba
ya mfanyabiashara maarufu wa jijini Arusha, aliyetambulika kwa jina la
Joseph Magese, anakosadikiwa nyoka huyo alikotokea na kuuawa na
wananchi kwa kucharangwa na shoka wakati akirejea.
umati wa watu waliofika kushudia tukio hilo
Nyumba yamfanyabishara ambapo alikutwa nyoka huyo na chini ni sehemu ya magari ya mfanyabiashra huyo
Kitambaa chenye maandishi ya kiarabu alichokutwa nacho nyoka huyo kikiwa mbele ya geti la nyumba ya mfanyabiashara huyo
COMMENTS