MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ASIMAMISHA UJENZI WA NYUMBA YA GHOROFA MJINI UNGUJA, ZANZIBAR

Balozi Seif akipokea malalamiko ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakimshutumu Mmiliki wa Kiwanja cha jengo la Ghorofa Bwana Anuari ...

Balozi Seif akipokea malalamiko ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakimshutumu Mmiliki wa Kiwanja cha jengo la Ghorofa Bwana Anuari Abdulla anayejenga pamoja na eneo la wazi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii.

Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akijitetea kupata kibali kinachomruhusu kuendeleza ujenzi wa nyumba yake.
Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akijitetea kupata kibali kinachomruhusu kuendeleza ujenzi wa nyumba yake.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amemuagiza Mmiliki wa Kiwanja kinachotaka kujengwa Nyumba ya Ghorofa katika Mtaa wa Mlandege Bwana Anuari Abdulla kusitisha mara moja ujenzi huo.
Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akifanyiwa mahojiano.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiondoka eneo la tukio mara baada ya kutoa maamuzi ya kuzuia ujenzi wa jengo la Ghorofa kwa kukosa taratibu zinazozingatia Mji mkongwe wa Zanzibar. (PICHA/VIDEO NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG).

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ASIMAMISHA UJENZI WA NYUMBA YA GHOROFA MJINI UNGUJA, ZANZIBAR
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ASIMAMISHA UJENZI WA NYUMBA YA GHOROFA MJINI UNGUJA, ZANZIBAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzFuX1rYkybIvSG8ivta4Wk9u2-Va8G8FtU2DT7UWaB7W59OffkmYZrd2h6OrdMy_xeclatwyMuBUELsZ2uzZFRdteDOomZXZIYB29msNwKxI79vWlWsV7z73JY4tauRQZ0XIgTwDC7FNm/s640/IMG_9802.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzFuX1rYkybIvSG8ivta4Wk9u2-Va8G8FtU2DT7UWaB7W59OffkmYZrd2h6OrdMy_xeclatwyMuBUELsZ2uzZFRdteDOomZXZIYB29msNwKxI79vWlWsV7z73JY4tauRQZ0XIgTwDC7FNm/s72-c/IMG_9802.jpg
Okandablogs
http://robertokanda.blogspot.com/2015/12/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar.html
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/12/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy