IGP SIRRO AFUNGA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA WA POLISI
HomeJamii

IGP SIRRO AFUNGA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA WA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi wakati alipowasili katika Chuo cha Maafisa wa Polisi ...





Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi wakati alipowasili katika Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu mkoani Morogoro, kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya wiki nne ya utayari ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs) na Maafisa Operesheni. (Picha na Jeshi la Polisi)


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (wa pili kushoto), akiwa ameongozana na Naibu Kamishna wa Polisi Msataafu (DCP) Vennance Tossi (katikati) Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu (DCP) Mpinga Gyumi na baadhi ya Maafisa na askari wa Jeshi hilo wakati alipowasili katika Chuo hicho kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya wiki nne ya Utayari ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matukio ya uhalifu na wahalifu Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs) na Maafisa Operesheni. 


Mmoja kati ya askari Polisi 203 wanaoshiriki mafunzo ya Utayari ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Polisi Wilaya (OCDs) na Maafisa Operesheni katika Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu mkoani Morogoro akiwa katika onesho la namna ya kukabiliana na uhalifu, mafunzo hayo ya wiki nne yalifungwa jana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro. 

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IGP SIRRO AFUNGA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA WA POLISI
IGP SIRRO AFUNGA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA WA POLISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZiJHrjcfLTuPAhBaJRClcrjWmJrd32gfMFrtvPbRIcI-FaCQco9jcyFyhkoju-C7tG268MM1a4fi9zhL-sklfFzOonUOUNKXamLDugPas5tWNo6xjdiJ91oe7iblE2RBYoRWU_pUq1-o/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZiJHrjcfLTuPAhBaJRClcrjWmJrd32gfMFrtvPbRIcI-FaCQco9jcyFyhkoju-C7tG268MM1a4fi9zhL-sklfFzOonUOUNKXamLDugPas5tWNo6xjdiJ91oe7iblE2RBYoRWU_pUq1-o/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/06/igp-sirro-afunga-mafunzo-ya-kuwajengea.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/06/igp-sirro-afunga-mafunzo-ya-kuwajengea.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy