WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AIPONGEZA MSD KATIKA MKUTANO WA 65 WA SADC
HomeJamii

WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AIPONGEZA MSD KATIKA MKUTANO WA 65 WA SADC

  Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Ummy Mwalimu  (kushoto), akimuonesha Waziri Mkuu, Kassim Maj...

WAUGUZI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WASHEHEREHEKEA GET TOGETHER PARTY 2017
HARUSI YA JOHN FOCUS NA BERNADETHA MUNISHI ILIVYOFANA
WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA MAELEZO ONLINE TV MJINI DODOMA








 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto), akimuonesha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  baadhi ya vifaa tiba vinavyosambazwa na Bohari ya Dawa (MSD), alipotembelea banda la MSD katika Mkutano wa 65 wa Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (Eastern, Central and Southern Africa Health Community, ECSA-HC). Kulia ni  Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Mpoki Ulisubisya. 
Image

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dk.Mpoki Ulisubisya katika maonesho hayo.
Image




Maonyesho yakiendelea.



Image

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia bidhaa zinazosambazwa na MSD.





Na Mwandishi Wetu







WAZIRI  Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameipongeza MSD kwa kuteuliwa kuwa mnunuzi mkuu wa dawa,vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC).

Waziri  Mkuu ametoa pongezi hizo alipotembelea  banda la MSD la maonyesho ambayo yanafanyika kando mwa  Mkutano wa 65 wa Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika (Eastern, Central and Southern Africa Health Community, ECSA-HC).

Mkutano huo unajumuisha Mataifa tisa (9) wanachama ikiwemo Tanzania.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AIPONGEZA MSD KATIKA MKUTANO WA 65 WA SADC
WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AIPONGEZA MSD KATIKA MKUTANO WA 65 WA SADC
https://mail.google.com/mail/u/0/?ui=2&ik=16370c3608&view=fimg&th=1623fa454806a047&attid=0.1&disp=emb&attbid=ANGjdJ-VZn_XA6bqUCChp5mnm3fR79UO1uvts5K0gbn4CBxOrvcGbK7C-AcsARDahlJT4e4HvLk-hZDpvEa77K_7oorGNv9Jg8MqwTnglxpr9j3-0tpOwlJEfHZFVk4&sz=s0-l75-ft&ats=1521491005685&rm=1623fa454806a047&zw&atsh=1
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/waziri-mkuu-kasim-majaliwa-aipongeza.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/waziri-mkuu-kasim-majaliwa-aipongeza.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy