MATUKIO YA PICHA WAKATI WA UZINDUZI VITUO SITA VYA POLISI VINAVYOHAMISHIKA
HomeJamii

MATUKIO YA PICHA WAKATI WA UZINDUZI VITUO SITA VYA POLISI VINAVYOHAMISHIKA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akiwasili katika Viwanja vya Polisi Oysterbay wakati wa Uzinduzi wa Vituo vya...

VIDEO: BUNGE LA WATOTO LAVUTIA WENGI MKOANI MWANZA.
TANESCO YAKANUSHA TAARIFA KUHUSU "VIFAA VYA MITAMBO YA KINYEREZI"
JUMAA KAREEM KUTOKA KWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA



Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, akiwasili katika Viwanja vya Polisi Oysterbay wakati wa Uzinduzi wa Vituo vya Polisi Vinavyohamishika lengo ikiwa ni kusogeza huduma za kipolisi karibu na wananchi.Kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa na wengine kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Salum Hamduni, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Temeke, Emmanuel Lukula na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Jumanne Muliro.Tukio hilo limefanyika mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.


Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akimuongoza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, kukagua mazingira ya ndani ya moja kati ya Vituo vya Polisi Vinavyohamishika baada ya kuzinduliwa mwishoni mwa wiki na naibu waziri huyo lengo ikiwa ni kusogeza huduma za kipolisi karibu na wananchi.Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja vya Polisi Oysterbay ,jijini Dar es Salaam.






Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Polisi Jamii Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, Ahmada Khamis(kulia), baada ya kuzindua Vituo vya Polisi Vinavyohamishika katika Viwanja vya Polisi Oysterbay, lengo ikiwa ni usogezaji karibu wa huduma za kipolisi kwa wananchi.Katikati ni Mkuu wa Shirika linaloshughulika na Usafirishaji wa Wakimbizi nchini (IOM), Dk. Qasim Sufi.Tukio hilo limefanyika mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.






Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akijibu maswali ya Waandishi wa Habari baada ya Uzinduzi wa Vituo vya Polisi Vinavyohamishika lengo ikiwa ni usogezaji wa huduma za kipolisi kwa wananchi.Tukio hilo limefanyika mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wa nne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi na wageni waalikwa baada ya kuzindua Vituo vya Polisi Vinavyohamishika, lengo ikiwa ni kusogeza huduma za kipolisi kwa wananchi. Waliosimama ni Kikundi cha Polisi Jamii cha Mkoa wa Kipolisi Kinondoni.Tukio hilo limefanyika mwishoni mwa wiki katika Viwanja vya Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO YA PICHA WAKATI WA UZINDUZI VITUO SITA VYA POLISI VINAVYOHAMISHIKA
MATUKIO YA PICHA WAKATI WA UZINDUZI VITUO SITA VYA POLISI VINAVYOHAMISHIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiblMwoAbiBAPnaJNI0jUbw6zAzHQVeoWraSliFH1bpDJqJ5M0DUQ1bS0DHvfI2gB5u5SEmsZccdy9kviQZJDDB8P3_mVefWY4fTMeHGs7ZMbxYyyKWAHkSM1hLx29CnIjAwqH-z-Jv3Y2k/s640/PIX-1-5-768x524.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiblMwoAbiBAPnaJNI0jUbw6zAzHQVeoWraSliFH1bpDJqJ5M0DUQ1bS0DHvfI2gB5u5SEmsZccdy9kviQZJDDB8P3_mVefWY4fTMeHGs7ZMbxYyyKWAHkSM1hLx29CnIjAwqH-z-Jv3Y2k/s72-c/PIX-1-5-768x524.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/matukio-ya-picha-wakati-wa-uzinduzi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/matukio-ya-picha-wakati-wa-uzinduzi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy