Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijiandaa kuweka shada la maua kwenye kaburi la Marehem...
![]() |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma lililopo Wawi, Pemba.
|
Hayati Dk Omar Ali Juma (26 Juni 1941 – 4 Julai 2001) alikuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu nchini Tanzania, iliyokuwa inaongozwa na Rais Benjamin William Mkapa.
COMMENTS