KAMISHNA WA OPERESHENI WA ZIMAMOTO AZINDUA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage (kushoto), akiwa ameambatana na mwenyeji wake mmiliki wa Yatch Club Bw. Brian Fernandes (kulia), baada ya kuwasili ofisi za Yatch Club kwa ajili ya uzinduzi wa mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu daraja la pili kwa Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)
HomeJamii

KAMISHNA WA OPERESHENI WA ZIMAMOTO AZINDUA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU

Mafunzo haya yanayoendeshwa hapa nchini na Wakufunzi kutoka Ujerumani yana lengo la kuwaongezea Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uo...

Mafunzo haya yanayoendeshwa hapa nchini na Wakufunzi kutoka Ujerumani yana lengo la kuwaongezea Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji weledi katika kukabiliana na majanga ya mafuriko na kuzama kwa watu majini haswa kwenye kina kirefu.


Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CF) Billy Mwakatage (wa pili kushoto), akiwa na wakufunzi kutoka nchini Ujerumani na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Wakati wa  uzinduzi wa mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu daraja la pili kwa Askari wa Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam. Alipotembelea eneo hilo mapema leo asubuhi.


Mkufunzi kutoka nchini Ujerumani Bw. Dan Jungingfer (kulia), akitoa maelekezo ya mbinu za uzamiaji majini kwenye kina kirefu kwa Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Sajini Gift Longwe na Konstebo Baltazari Swai. Wakati wa  uzinduzi wa mafunzo ya uzamiaji majini kina kirefu daraja la pili kwa Askari wa Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam. 


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMISHNA WA OPERESHENI WA ZIMAMOTO AZINDUA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU
KAMISHNA WA OPERESHENI WA ZIMAMOTO AZINDUA MAFUNZO YA UZAMIAJI MAJINI KINA KIREFU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSs9G1R12HAq7v7yoCUf9DblBXbhvWzjwZxDdafhp-99jcX83o1KQNMq9vgUvRd8lon2oJIjXUcT8moVdgQJCisGQsrE2-cQ9Qc6-qW_d55NNfd-La-0DIJwaGuoj4PVlit-OvwxOKP-o/s640/PIX+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSs9G1R12HAq7v7yoCUf9DblBXbhvWzjwZxDdafhp-99jcX83o1KQNMq9vgUvRd8lon2oJIjXUcT8moVdgQJCisGQsrE2-cQ9Qc6-qW_d55NNfd-La-0DIJwaGuoj4PVlit-OvwxOKP-o/s72-c/PIX+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/kamishna-wa-operesheni-wa-zimamoto.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/kamishna-wa-operesheni-wa-zimamoto.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy