POLEPOLE AMNADI MTULIA KWA KISHINDO KATA YA MUZIMUNI MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
HomeSiasa

POLEPOLE AMNADI MTULIA KWA KISHINDO KATA YA MUZIMUNI MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Bashir Nkoromo February 04, 2018    Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akitema cheche wakati akimna...


 Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akitema cheche wakati akimnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akimnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akiingia kumnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
 Wananchi na wana CCM wakitimua vumbi kumlaki Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole , alipowasili kwenye viwanja vya Mtambani, kumnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kinondoni  Maulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akimsalimia Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni baada ya kuwasili kumnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia (wa pili kushoto) katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni katibu wa CCm mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akimsalimia mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba baada ya kuwasili kumnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole na viongozi wengine wa meza kuu wakishangilia baada ya kuwasili, kumnadi Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo.
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya taida (NEC) ya CCM Humphrety Polepole akisaini kitabu cha wageni baada ya kuketi
 Mwenyekiti wa zamani wa Wilaya ya Kinondoni Ndugu Londa akizungumza baada ya kukaribishwa jukwaani kusalimia
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate kamba akimkaribisha Ndugu Polepole jukwaani baada ya kuhutubia
 Ndugu Polepole akitamba jukwaani kabla ya kumwita jukwaani Ndugu Mtulia kumnadi
 Polepole akimnadi Mtulia kwa wananchi
 Mtulia na Polepole wakionyesha furaha jukwaani wakati wakishangiliwa na wananchi
 "Ukishachaguliwa hawa wananchi wasaidie sana kutatua matatizo yao, maana wanakuamini na wanaaiamini CCM ndiyo maana watakuchagua" akasema Polepole kumwambia Mtulia (kushoto)

 " Na utatutuzi wa matatizo ya wanancho kwako utakuwa rahisi ukitumia Ilani hii ya CCM, maana kila kitu kimo humu" akaongeza Ndugu Polepole kumwambia Ndugu Mtulia kabla ya kumkabidhi kitabu hicho cha Ilani ya CCM ya 2015-2020
 Wananchi na wana CCM wakilipuka kwa nderemo wakati Ndugu Polepole akimnadi Mtulia
 Ndugu Polepole akimpongeza Mtulia baada ya kumkabidhi Ilani hiyo
 Kisha akamuasa zaidi
 Wananchi wakizidi kushangilia kwa vifijo
 Mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kinondoni Said Mulid Mtulia akiomba kura katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanayika leo katika Viwanja vya Mtambani, Kata ya Muzimuni, Magomeni jijini Dar es Salaam, leo. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: POLEPOLE AMNADI MTULIA KWA KISHINDO KATA YA MUZIMUNI MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
POLEPOLE AMNADI MTULIA KWA KISHINDO KATA YA MUZIMUNI MAGOMENI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirN4fPF2VNib5qSIEUm8UG4STXhcJf1-rcjLeWV6UC49xYgS8nDOYJMHMU3d2JAJGTC4a5mk-s0QT17eeNCJRtJIgZlFzik1ICYRBli8wpIWJALJtljXjL59bDU-U0LazvsNUIkoK7SLMB/s640/1.+BN640547.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirN4fPF2VNib5qSIEUm8UG4STXhcJf1-rcjLeWV6UC49xYgS8nDOYJMHMU3d2JAJGTC4a5mk-s0QT17eeNCJRtJIgZlFzik1ICYRBli8wpIWJALJtljXjL59bDU-U0LazvsNUIkoK7SLMB/s72-c/1.+BN640547.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/polepole-amnadi-mtulia-kwa-kishindo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/polepole-amnadi-mtulia-kwa-kishindo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy