SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO
HomeJamii

SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO

Sisi, Familia ya Mrs Bdariya Ramadhan Kiondo (Aliekuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Mkuu wa Utawala na Fedha katika Ubalozi wa Tanzani...

WATEJA 15,345 WAFAIDIKA NA MRADI WA UMEME WA KIA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITAZAMA GARI LILILOJENGEWA BODI LA MBAO
RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Sisi, Familia ya Mrs Bdariya Ramadhan Kiondo (Aliekuwa Afisa wa Mambo ya Nje Mkuu na Mkuu wa Utawala na Fedha katika Ubalozi wa Tanzania New Delhi, India, tunamshukuru Mungu kwa zawadi aliotupa kwetu kama Mke, Mama,Bibi, Shangazi ,Ndugu na kwa mwili wa kumcha Mungu.
Tunashukuru kwa upendo mkuu,kwa kushiriki nasi katika kumsindikiza mpendwa wetu katika nyumba yake ya milele tarehe 15 Desemba  2017. Tunapenda kuwashukuru marafiki, ndugu, Wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Watumishi wenzake katika Ubalozi wa Tanzania Nchini New Delhi, India, marafiki na Ndugu wote kutoka Nchi mbali  mbali Duniani,(hasa India,,Uingereza, Uholanzi, Canada, Oman UAE na USA).
Shukran za pekee pia ziwafikie Madaktari wake wote katika Hospitali ya Apollo New Delhi,Mwambata Tiba katika Ubalozi wetu New Delhi kwa juhudi kubwa waliofanya katika matibabu yake, Viongozi Wakuu mbali mbali Serikalini,Balozi na Wafanyakazi wa Ubalozi wetu New Delhi India,Uongozi na wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki,Majirani wa Kiondoni Ada Estate flats, ndugu na jamaa wote kutoka Zanzibar,Tanga na Msikiti wa Al Maamur ,Upanga Dar es salaam. Asanteni Sana.
Kisomo cha 40 ya Marehemu kitakuwa  tarehe 27 January 2018 huko Mkwajuni, Kivunge Kijijini, kwa Foum Kimara, Zanzibar baada ya Swala ya Adhuhuri (Saa saba mchana). Wote mnakaribishwa kushiriki nasi.
Ni vigumu kumshukuru kila mmoja kwa majina tunaomba mlioshiriki kwa namna moja au nyingine mpokee shukrani  zetu hizi za upendo kwa kuwa nasi katika kipindi hiki kigumu.
Tunaendelea kuomba Roho ya mpendwa wetu “B”ipumzike kwa Amani na utakuwa nasi daima milele Amen.


Pumzika kwa Amanai Mpendwa wetu.                                    
Innalilah wainailah rajiun.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO
SHUKURANI toka kwa familia ya MAREHEMU BADRIYA RAMADHAN KIONDO
https://4.bp.blogspot.cSHUKURANI%20toka%20%20kwa%20familia%20ya%20%20MAREHEMU%20BADRIYA%20RAMADHAN%20KIONDOom/-3pGYzCXvQ0Y/WmD_8c9mMUI/AAAAAAAKBkA/GiZUKR_NMawLs1GkoYCD13LJbE9ekEcpwCLcBGAs/s400/IMG-20180118-WA0083.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/shukurani-toka-kwa-familia-ya-marehemu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/shukurani-toka-kwa-familia-ya-marehemu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy