Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika Gerezani Railways Club jijini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kitabu cha maombolezo alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa mkono wa pole kwa wafiwa alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola kwenye msiba wa mkewe MarehemuKamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola Gerezani Railyways Club jijini Dar es Salaam January 2, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wanafamilia alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam leo January 2, 2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki juzi. (PICHA NA IKULU)
COMMENTS