Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa),Allan Kijazi akizungumza kwenye kikao cha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya...

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa),Allan
Kijazi akizungumza kwenye kikao cha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Mazingira iliyofanya ziara ya kikazi kwenye Hifadhi ya Taifa
Ziwa Manyara mkoa wa Arusha,kulia ni
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga.
Kijazi akizungumza kwenye kikao cha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Mazingira iliyofanya ziara ya kikazi kwenye Hifadhi ya Taifa
Ziwa Manyara mkoa wa Arusha,kulia ni
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga.
![]() |
Meneja Ujirani Mwema wa Tanapa,Hemed Mbugi akitembea juu ya
daraja linalo ‘bembea’ ambalo ni moja kivutio kwa watalii wa nje na ndani. |
![]() |
Mbunge wa jimbo la Mtama mkoa wa Lindi akifurahia daraja linalo ‘bembea’ ambalo ni moja kivutio kwa watalii wa nje ya nchi na ndani. |
![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Kemilembe Lwota akitembea juu ya daraja hilo. |
![]() |
Meneja Mawasiliano wa Tanapa,Pascal Shelutete naye hakua nyuma kutembea juu ya daraja hilo ambalo limeongeza shughuli za utalii kwenye hifadhi hiyo. |
![]() |
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na
Mazingira wakiwa juu ya daraja maalumu lililojengwa kuwawezesha watalii kuwaona wanyama aina ya Viboko na aina mbalimbali za ndege. |
![]() |
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Japhet Hasunga akifurahia mandhari ya daraja linalomwezesha mtalii kuona vizuri eneo la Ziwa Manyara. |
COMMENTS