Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Kocha wa Timu wa ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa ...
|
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Kocha wa Timu wa ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Venance Mwamoto wakati alipokuwa akiwasalimia Wachezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania na Wachezaji wa Bunge la Burundi kabla ya kuanza kwa mechi baina ya timu hizo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam ambapo timu ya Bunge la Tanzania ilishinda kwa mabao 3 - 1. Mechi hiyo lilichezwa ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Kimichezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika yalioanza mwishoni mwa wiki na yanatarajiwa kwisha tarehe 10 Desemba, 2017.
|
|
Mshambuliaji wa Timu ya Bunge la Tanzania, Ridhiwan Kikwete akiwatoka Mabeki wa Timu ya Bunge la Burundi wakati wa mechi baina ya timu hizo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Kimichezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika yalioanza mwishoni mwa wiki na yanatarajiwa kwisha tarehe 10 Desemba, 2017 ambapo Timu ya Bunge la Tanzania ilishinda kwa mabao 3-1. |
|
Mshambuliaji wa Timu ya Bunge la Tanzania, Ridhiwan Kikwete akipiga mpira kuelekea katika Lango la Timu ya Bunge ya Burundi wakati wa mechi baina ya timu hizo ikiwa ni sehemu ya Mashindano ya Kimichezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika yalioanza mwishoni mwa wiki na yanatarajiwa kumalizika tarehe 10 Disemba, 2017 ambapo Timu ya Bunge la Tanzania ilishinda kwa mabao 3-1.
|
|
Kikosi cha Timu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha ya Pamoja kabla ya kuanza kwa mechi yao na Timu ya Bunge la Burundi ambapo walishinda 3-1. (PICHA NA BUNGE)
|
COMMENTS