TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10
HomeBiashara

TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10

Mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka umetoa  washindi wa wawili wa sh. Milioni  10  katika droo maalumu ya mwisho wa mwaka ili kuwapa wachez...

ORIFLAME YASHEREHEKEA MIAKA 50 YA UTOAJI HUDUMA NA UUZAJI BIDHAA ZAKE ZA VIPODOZI DUNIANI
INTANETI INAVYOCHOCHEA UKUAJI WA UTALII BARANI AFRIKA
BENKI YA FINCA, DAR CITY F.C ZA SAINI MKATABA WA UDHAMINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mchezo wa kubahatisha wa TatuMzuka umetoa  washindi wa wawili wa sh. Milioni  10  katika droo maalumu ya mwisho wa mwaka ili kuwapa wachezaji wa droo hiyo kufurahia sikukuu za mwisho wa mwaka .

Akizungumza na waandishi habari wakati wa kukabidhi hundi hizo  kwa washindi hao , Afisa Habari wa Tatu Mzuka, Kemi Mutahaba amesema droo hiyo inachezwa majira ya saa tatu na nusu usiku ambayo inakwenda hadi mwishoni wa mwaka.

Kemi amesema  kuwa washindi wote waliopewa hundi ni kutokana na kushinda mchezo huo kwa kufuata taratibu zilizowekwa za  mchezo,Amesema Watanzania waendelee kuchangamkia fursa ya mchezo huo na kuibuka washindi na kufurahi  msimu wa sikukuuu na ziku zinazoendelea.

Kemi amesema kuwa droo ya walioshinda ni maalumu na wakiona umuhimu wataweza kuitumia na droo zingine zikiendelea.Mshindi wa Tatu Mzuka wa Sh.milioni 10, Samson Mwamwenda amesema  hakuamini kama ameshinda kutokana na kusikia watu wanashinda.

Amesema kuwa amecheza kwa wiki mbili akipata sh.2000  na mara ya mwisho akapata sh.10,000 lakini ameweza kushinda milioni 10.
 Afisa Habari wa Tatu Mzuka, Kemi Mutahaba akimkabidhi hundi ya
sh.milioni 10 kwa mshindi wa droo ya Tatu Mzuka ,Samson Mwamwenda,
mapema leo kwenye mkutano na Wanahabari (hawapo pichani),uliofanyika leo
jijini Dar .
 Afisa
Habari wa Tatu Mzuka, Kemi Mutahaba akimkabidhi hundi ya
sh.milioni 10 kwa mshindi wa droo ya Tatu Mzuka ,
Godfrey Madeje,mapema leo kwenye mkutano na Wanahabari (hawapo pichani),uliofanyika leo
jijini Dar .

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10
TATU MZUKA YAWATUNUKU WASHINDI WA WAWILI WA SH. MILIONI 10
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgVA7v24gqAQs6rGQq0DLHO4baHhIzNBsrqah1mSX48Q-_nme5q1gAflA7WBLdCZ0kvrYcBl_s3SiuXJ-e1O5sX-4KamETxnlnONT5gYe0ll9UGLJgwNquW0s7VPhLAnLJJ8eMdBSaGOa_/s640/J26A9877.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgVA7v24gqAQs6rGQq0DLHO4baHhIzNBsrqah1mSX48Q-_nme5q1gAflA7WBLdCZ0kvrYcBl_s3SiuXJ-e1O5sX-4KamETxnlnONT5gYe0ll9UGLJgwNquW0s7VPhLAnLJJ8eMdBSaGOa_/s72-c/J26A9877.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/tatu-mzuka-yawatunuku-washindi-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/tatu-mzuka-yawatunuku-washindi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy