SHEREHE ZA MIAKA 56 YA UHURU MJINI DODOMA LEO
Marais wastaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Benjamin William Mkapa na Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahia jambo wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

HomeJamii

SHEREHE ZA MIAKA 56 YA UHURU MJINI DODOMA LEO

Marais wastaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Benjamin William Mkapa na Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahia jambo wakati wa shere...

WAZIRI LUKUVI ATOA MSAADA WA AMBULANCE JIMBONI KWAKE
MJI MKONGWE WA ZANZIBAR: PALE DUNIA YA KALE INAPOKUTANA NA YA KISASA
ASKOFU CHARLES GADI AWAONGOZA WAUMINI KUWAOMBEA WALIOATHIRIKA KWA KIMBUNGA FLORIDA NA TEXAS MAREKANI

Marais wastaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Benjamin William Mkapa na Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahia jambo wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

Helikopta ikishusha Komandoo kwenye onesho la kupambana na ugaidi, ndege vita zikipita na kikosi cha Pikipiki cha  Askari wa usalama barabarani wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

Ndege vita zikipita na kikosi cha Pikipiki cha  Askari wa usalama barabarani wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi jukwaa kuu na uwanja mzima wakisimama kwa dakika kadhaa kutoa heshima kwa vifo vya askari wa JWTZ 14 waliouwawa wakiwa katika kazi ya kulinda amani Congo DRC wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017. 

Vijana wa halaiki wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

Marais wastaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mhe. Benjamin William Mkapa na Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahia jambo wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017. Kushoto ni Mkamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seifu Ali Iddi.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwaamkia Mama Maria Nyerere na Mama Fatma Karume wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

Kwaya ikitumbuiza wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

Wasanii wakitumbuiza wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi jukwaa kuu na uwanja mzima wakisimama kwa dakika kadhaa kutoa heshima kwa vifo vya askari wa JWTZ 14 waliouwawa wakiwa katika kazi ya kulinda amani Congo DRC wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Disemba 9, 2017.

Jukwaa kuu la viongozi mbalimbali wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017. (PICHA NA IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHEREHE ZA MIAKA 56 YA UHURU MJINI DODOMA LEO
SHEREHE ZA MIAKA 56 YA UHURU MJINI DODOMA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSslIYqlPUULKCmoXDKVg1wVoJ15bB3Vlb6jveqLVboGMpSkygDmsClSw7UADgGciGtlTTkaD7DA3Y_Tuodr4CCl73lvqaJwQ1TQhHZvcBuzqhIDQVhaNn_cm0_Yn1SXi8cZZ6f_PC258/s640/u+%2528101%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSslIYqlPUULKCmoXDKVg1wVoJ15bB3Vlb6jveqLVboGMpSkygDmsClSw7UADgGciGtlTTkaD7DA3Y_Tuodr4CCl73lvqaJwQ1TQhHZvcBuzqhIDQVhaNn_cm0_Yn1SXi8cZZ6f_PC258/s72-c/u+%2528101%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/sherehe-za-miaka-56-ya-uhuru-mjini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/sherehe-za-miaka-56-ya-uhuru-mjini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy