MAKAMU WA CHUO CHA IJA ASHINDA KUKU LUSHOTO KATIKA BONANZA

 Mr. Fahamu Mtulya Mshindi wa kuku (Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma   Nazael Mkumbo Mshindi wa kuku Makamu Mkuu wa Chuo cha uongozi w...


 Mr. Fahamu Mtulya Mshindi
wa kuku (Naibu Mkuu wa Chuo Taaluma
 Nazael Mkumbo Mshindi wa
kuku
Makamu Mkuu wa Chuo cha uongozi
wa mahakama IJA, Fahamu Mutlya

mwishoni mwa wiki alionesha uhodari wa kukimbia baada ya kufanukiwa
kumkamata kuku
  katika
bonanza kuadhimisha siku ya uhuru na kufunga mwaka wa 2017
lililofanyika katika uwanja wa chuoni
hapo.





Mtulya aliweza kuwashinda wengine waliokuwa kwenye kundi la
wahadhiri
baada ya kuchomoka
kwa haraka na kisha kumdaka kuku huyo wakati kundi
la uhasibu mshindi alikuwa Noel Njau
wakati Barnaba john alishinda

kundi la utawala.




Mpira wa kikapu watumishi waliweza kuwafunga wanafunzi wa chuoni
hapo
magoli 12 -8 na mpira wa
wavu watumishi walifungwa seti 3-2.




Mwenyekiti wa kamati ya Bonanza hilo,Daudi Hemba alisema
lilifanyika
kwa lengo la
kuwaeka pamoja watumishi na wanafunzi katika kujenga afya
zao huku wakitafakari kuhusu mambo
mbalimbali yahusuyo uhuru wa nchi
hii.



“Bonanza hili limefanyika kwa lengo la kuwaweka pamoja watumishi
na
wanafunzi lakini pia
kujenga afya zao huku wakitafakari kuhusu
uhuru”alisema Hemba.



Mkuu wa Chuo cha IJA,Paul Kihwelo aliwataka watumishi kujenga tabia
ya
kufanya mazoezi ya mara kwa
mara ili kuimarisha afya zao.




“Bila shaka mnafahamu kwamba anayeshiriki michezo si rahisi


kushambuliwa na magonjwa mbalimbali,na ndiyo maana tumeanzisha
IJA
joging club ambayo
watumishi na wanafunzi wanashiriki kila
jumamosi”alisema Kihwelo.


Katika bonanza hilo pia lilifanyika zoezi la upimaji wa afya
ambapo
watu 25 waliojitokeza
kupima virusi vya ukimiwi walionekana kutokuwa
na maambukizi wakati waliopima kisukari (Blood Suger) walikuwa 30
ambao walionekana kuwa ya kawaida.



(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA CHUO CHA IJA ASHINDA KUKU LUSHOTO KATIKA BONANZA
MAKAMU WA CHUO CHA IJA ASHINDA KUKU LUSHOTO KATIKA BONANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4xDdFQhQIFAIuoSzT7efrJUYkKZSIs87QdRsEVgDEuUbpiyW7drOBNNo58IwZKd6YULJODE5T6KCfNmFJ42wv4xfAn1buR1Ld_ZexV3n5HdN2fnAQw-oX2RekRIxvXMOaeQDWAxRq5bWs/s640/Mr.+Fahamu+Mtulya+Mshindi+wa+kuku+%2528Naibu+Mkuu+wa+Chuo+Taaluma%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4xDdFQhQIFAIuoSzT7efrJUYkKZSIs87QdRsEVgDEuUbpiyW7drOBNNo58IwZKd6YULJODE5T6KCfNmFJ42wv4xfAn1buR1Ld_ZexV3n5HdN2fnAQw-oX2RekRIxvXMOaeQDWAxRq5bWs/s72-c/Mr.+Fahamu+Mtulya+Mshindi+wa+kuku+%2528Naibu+Mkuu+wa+Chuo+Taaluma%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-chuo-cha-ija-ashinda-kuku.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/makamu-wa-chuo-cha-ija-ashinda-kuku.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy