AIRTEL YALETA ‘SMATIKA NA YATOSHA INTANETI’ SMATIKA NA 1GB  SIKU TATU KWA 2000 TU
Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda na Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano wakionyesha bango baada ya kuzindua bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ mpya ambapo mteja wa Airtel itamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili.
HomeBiashara

AIRTEL YALETA ‘SMATIKA NA YATOSHA INTANETI’ SMATIKA NA 1GB SIKU TATU KWA 2000 TU

‘SMATIKA NA 1GB Yatosha Intaneti  inayokupa muda mrefu kwa gharama nafuu zaidi. Airtel Tananzania Mtandao bora kwa Smartphone yako ime...



  • ‘SMATIKA NA 1GB Yatosha Intaneti inayokupa muda mrefu kwa gharama nafuu zaidi.
Airtel Tananzania Mtandao bora kwa Smartphone yako imewapatia wateja wake uhuru zaidi kwa kuwaletea  bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ maalum kwa watumiaji wa huduma za intaneti.   
Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchuna wakati wa hafla ya kuzindua ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti, alisema “Airtel itaendelea kuleta huduma zenye ubora na ubunifu wa hali ya juu ili kuendelea kuwa  sambamba na mahitaji ya wateja katika huduma za intaneti ambapo kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa Airtel imejiwekea mikakati endelevu mingi ili kukidhi uhitajika na wateja wote”
“Tuaendelea kudhihirisha dhamira yetu ya kutoa suluhisho la mawasiliano kupitia uzinduzi wa ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ kwa kutoa huduma nafuu ya Intaneti kwa watumiaji wote nchini  huku tukiweka kipaumbele zaidi katika ubora wa mtandao pamoja na kuwapatia  wateja uhuru zaidi” aliongeza Nchunda  
“SMATIKA na Yatosha Intaneti’ ni zawadi ya awali kabisa tunayowapatia watumiaji wa Airtel katika msimu huu wa sikukuu, tunaamini kuwa ndani ya msimu huu wa sikukuu wateja wanauhitaji mkubwa sana wa intaneti katika kukamilisha shamrasharna wakiwa wanawasiliana na ndugu, jamaa na marafiki  wakati wote!”
Akifafanua  zaidi Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano alisema Bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’zinatoa uhuru kwa wateja wote wa airtel kujichagulia bando la intaneti KABAMBE wakati wowote.
“Mteja wa Airtel ataweza kunufaika na SMATIKA na Yatosha Intaneti kwa gharama nafuu ya hadi shilingi 200 na kujipatia MB 40, vilevlie mteja ataweza KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili tu” alieleza Bi Singano
“kujiunga na ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ unatakiwa kupiga *149*99# kisha chagua 5 Yatosha Intanet vilevile  unaweza kujiunga kupitia Airtel Money kwa kupiga *150*60# kisha chagua  Yatosha Intanet”.
Airtel Tanzania imekuwa katika programu ya uboreshaji wa miundombinu ya mawasiliano yake ili kukamilisha lengo lake la kutoa mawasiliano bora  na yenye uhakika kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya U900. Tayari Airtel imezindua maboresho ya mtandao wake kwa kutumia teknolojia hiyo ya U-900 kwenye mikoa ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Morogoro na Mwanza huku ikiendelea kuwahakikishia wateja wake mawasiliano bora hasa katika maeneo ya nje na ndani ya majengo marefu au yenye uhitaji zaidi.


Mkurugenzi wa Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano akiongea jana wakati wa uzinduzi wa bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ mpya ambapo mteja wa Airtel itamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA GB 1  ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda.

Mkurugenzi wa Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda – kushoto akiongea jana wakati wa uzinduzi wa bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ mpya ambapo mteja wa Airtel itamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili. Kushoto ni Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano.

Mkurugenzi wa Masoko Airtel Tanzania Isack Nchunda na Mawasiliano Airtel Tanzania Beatrice Singano wakionyesha bango baada ya kuzindua bando za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ mpya ambapo mteja wa Airtel itamuwezesha mteja wa Airtel KUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili.










Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AIRTEL YALETA ‘SMATIKA NA YATOSHA INTANETI’ SMATIKA NA 1GB SIKU TATU KWA 2000 TU
AIRTEL YALETA ‘SMATIKA NA YATOSHA INTANETI’ SMATIKA NA 1GB SIKU TATU KWA 2000 TU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnJEAOlpJnKP3Rd5S-QIf7C5i_vVRrXNDYX0lZ7-4zQSxAqlGe8Ag8GWjx7h-jf-b9XKl5f1mY8w4aoOfd2B4VWLzAiy9WwZCvoCiOxysUJnAV8vJscmqRhwXELP7wptagONxXPmrcaRM/s640/0D6A1498.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgnJEAOlpJnKP3Rd5S-QIf7C5i_vVRrXNDYX0lZ7-4zQSxAqlGe8Ag8GWjx7h-jf-b9XKl5f1mY8w4aoOfd2B4VWLzAiy9WwZCvoCiOxysUJnAV8vJscmqRhwXELP7wptagONxXPmrcaRM/s72-c/0D6A1498.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/airtel-yaleta-smatika-na-yatosha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/airtel-yaleta-smatika-na-yatosha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy